Ufisadi wazidi kudhibitiwa, mali za viongozi wa umma sasa kuhakikiwa ki elektroniki

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058


Mali za viongozi wa umma sasa zitakuwa zinarekodiwa na kuhakikiwa kwa mfumo wa kisasa wa elektroniki, tofauti na zamani ambapo ilikuwa ni kujaza fomu na ilikuwa ni ngumu kudhibiti udanganyifu
 
Hata kama wataweka haitasaidia .......

Mali nyingi za Mafisadi Wa nchi hii hawajaandika majina yao kwenye mali hizo......

Wamaandika watoto wao,Rafiki na ndugu Wa karibu.......

Ukute hata mkulu ni hivyo....
 
Kumbe je? Chezea mtz? Kwa address IPI? Kwa mfumo upi, uthibiti wizi Tanzania? Intelligensia itaishia kuona wapinzani... Hatuna mfumo wa kihivyo kujua nani ana miliki nini wapi tangu lini.... Hata idadi halisi ya watanzania haijulikani.... Kuna kata moja idadi ya wananchi halisi inazidi karibu mara mbili idadi ya watu waliopo ktk website ya takwimu. Hapo tu....
 
Back
Top Bottom