Ufisadi watamaliki katika kivuli cha uzalendo, tuwe makini watanzania

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
Katika mwavuli wa uzalendo dili zinapigwa hatari

tu anaiba then anakuambia usieniunga mkono wewe sio mzalendo. wenye akili wanayaona na hawadanganyiki katika hili

yaani mchezo unakuwaje!!!? UNAFANYA JAMBO JEMA, HAPO HAPO UNAIBA(TENA UNAPIGA SANA)

Ndugu zangu sina haja ya kutoa mifano. wenyewe mnaona huko mliko na kama bado jaribu kufuatilia.

hela kibao wanapewa kina mzee kiraracha, leprofezer nk. kuna mchezo mchezo wa siri kwenye chama kilee. hela sasa hivi
zinamwagwa hasa. maamuzi haramu katika matumizi ya
fedha ndio sasa ni zaidi ya EPA, ESCROW NK.

Pinga uone, tutakuita mnafiki na usie mzalendo. Mtakoma!!!
 
Unachoongea ni kweli kabisa na hata mimi niliwahi kukiongelea ila mada husika iliondolewa.

Kwa sasa huwezi eleleweka ndugu yangu.
 
hiki kivuli cha uzalendo ni shida. kinatumika kuficha maovu mengi sana
 
dili zinazopigwa sasa zitafahamika baada ya miaka kumi ijayo. kuna vitu vingi vinapigwa sasa. mfano bombadier....
 
Katika mwavuli wa uzalendo dili zinapigwa hatari

tu anaiba then anakuambia usieniunga mkono wewe sio mzalendo. wenye akili wanayaona na hawadanganyiki katika hili

yaani mchezo unakuwaje!!!? UNAFANYA JAMBO JEMA, HAPO HAPO UNAIBA(TENA UNAPIGA SANA)

Ndugu zangu sina haja ya kutoa mifano. wenyewe mnaona huko mliko na kama bado jaribu kufuatilia.

hela kibao wanapewa kina mzee kiraracha, leprofezer nk. kuna mchezo mchezo wa siri kwenye chama kilee. hela sasa hivi
zinamwagwa hasa. maamuzi haramu katika matumizi ya
fedha ndio sasa ni zaidi ya EPA, ESCROW NK.

Pinga uone, tutakuita mnafiki na usie mzalendo. Mtakoma!!!
Ufisadi unaweza kuwepo na namna pekee ya kuufichua ni kutoa ushahidi wa ufisadi huo.

Hakuna namna ukaeleweka kama ni maongezi tu bila evidence
 
Katika mwavuli wa uzalendo dili zinapigwa hatari

tu anaiba then anakuambia usieniunga mkono wewe sio mzalendo. wenye akili wanayaona na hawadanganyiki katika hili

yaani mchezo unakuwaje!!!? UNAFANYA JAMBO JEMA, HAPO HAPO UNAIBA(TENA UNAPIGA SANA)

Ndugu zangu sina haja ya kutoa mifano. wenyewe mnaona huko mliko na kama bado jaribu kufuatilia.

hela kibao wanapewa kina mzee kiraracha, leprofezer nk. kuna mchezo mchezo wa siri kwenye chama kilee. hela sasa hivi
zinamwagwa hasa. maamuzi haramu katika matumizi ya
fedha ndio sasa ni zaidi ya EPA, ESCROW NK.

Pinga uone, tutakuita mnafiki na usie mzalendo. Mtakoma!!!
Asiye na macho na aone na asiye na masikio na askie,watanzania ni ngumu sana kuelewa jambo tunamjua toka hapo ni mwizi mwenye kupuliza mtagundua siku zimeisha,karagabahu.
 
Mfano mwingine ni jengo la gorofa moja kugharim billion 1.4 huku tukiambiwa hostel za UDSM zimegharim million 500 kwa kila jengo lenye gorofa 4. Tumepigwa huku na kule
 
Katika mwavuli wa uzalendo dili zinapigwa hatari

tu anaiba then anakuambia usieniunga mkono wewe sio mzalendo. wenye akili wanayaona na hawadanganyiki katika hili

yaani mchezo unakuwaje!!!? UNAFANYA JAMBO JEMA, HAPO HAPO UNAIBA(TENA UNAPIGA SANA)

Ndugu zangu sina haja ya kutoa mifano. wenyewe mnaona huko mliko na kama bado jaribu kufuatilia.

hela kibao wanapewa kina mzee kiraracha, leprofezer nk. kuna mchezo mchezo wa siri kwenye chama kilee. hela sasa hivi
zinamwagwa hasa. maamuzi haramu katika matumizi ya
fedha ndio sasa ni zaidi ya EPA, ESCROW NK.

Pinga uone, tutakuita mnafiki na usie mzalendo. Mtakoma!!!
Ngoja tukugeuze bombardier..
 
Back
Top Bottom