Ufisadi wa Zitto & Mwakyembe kuhusu MV LIEMBA

muanzisha mada acha uongo. Umeonyesha ni jinsi gani unavyopokea mabo juu juu. Mimi si mnazi wa chama chocote, mwanasiasa yoyote for this i berg to differ with u kutokana na sababu zifuatazo.

1. Z. Kabwe ni mbunge wa jimbo la kigoma kaskazini kwa mwambao wa ziwa linapaka na nchi ya burundi, hivo unaposema wanainchi ya jimbo lake unaongopa kwani mostly meli ya mv liemba inawasaidia wananchi wa vijiji mwambao mwa ziwa kusini mwa kigoma ambako mbunge wake ni d.kafulila.

2. Personally nimekutana na wale wajerumani mwezi september ndani ya meli(mv liemba) nikiwa safarini kuelekea zambia. Nni kwamba kwa sasa wanafanya fund rising kwa ajili ya kuja kuikarabati kwani kutakuwa na jubilei ya miaka 100(kuhusu miaka sinauhakika nimesahau) itakayofanyika 2013, nawalikuwa mle kwa kazi ya kupiga picha (kwa awamu ya pili baada ya zile waliozopiga 2010 kwa ajili ya proposal hiyo)

3. Kwa maneno yao ni kuwa mh zzk amekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kuwa suala hili linakuwa ni lamafanikio na linawasaidia wanakigoma.

Naomba kuwasilisha kwa hoyo machache.

mleta mada kakimbia sijui kwa sbabau haonekani ,amejisikia raha kusema zitto fisadi na mwakyembe then kapotea wapi
zitto kabwe jamani unawanyima usingizi watu duhhhhhhhhhhh
 
hapo umenena. Huyu jamaa katumwaa

kapotea kabisa,,zitto ni jina jingne kabisa kulitaja kwenyewe kazi ngumu..yeye anasema zitto fisadi???akina chenge hata majina yao mepesi ndio maana ni mafisadi
 
Great thinkers wa JF mmekuwa so emotional

wachache sana wamekuja kujibu hoja (including Zitto mwenyewe)
 
About 25 passengers on board a boat off Lake Tanganyika in Kigoma have not been accounted for after their boat capsized in Lake Tanganyika.

Home


.....................
 
Huu ni uzushi na kutaka kumchafua Mhe Zitto, yeye yupo hapa nchini tena yupo Dsm, Tena leo alikuwa na shughuli za chama haya lini kaenda ujerumani
 
Back
Top Bottom