Ufisadi wa Serikali na kampuni za ki China: PPA imefutwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Serikali na kampuni za ki China: PPA imefutwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Nov 1, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ngeleja anasema kuwa wa China washapewa mradi wa kuleta gesi toka songo songo, pia tunaambiwa kuwa hata upanuzi wa airport ya zanzibar kwa sababu pesa zinatoka china bas, contractors na sub contractors watakuwa wa China sasa hii inatumika kama justification ya kuvunja sheria

  Does this mean kuwa hatuna haja ya kufuata PUBLIC PROCUREMENT ACT au ndio hatutakikufuata sheria?

  Hi ni hatari na serikali lazima iweke wazimsimamo kuhusu hii miradi amasivyo ifutilie mbali haya mambo ya kufuata procurement regulations
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamani si mnawasifia na kuwafagilia China kila kukicha. Kulikoni tena????
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ufisadi huo ni sehemu tu ya ufisadi woote
   
 4. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lini tutajitegemea!!!!!!!
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Siku tutakapoanza vita dhidi ya ugaidi kama Kenya.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Masharti ya misaada ni lazima mkandarasi atoke kwao hapo PPA haina nafasi
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Natamani tuanze kesho kama ndio hivyo!!!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Shida mchina akimaliza kazi mara moja inabidili upeleke timu ya matengenezo. Angalieni zile taa za barabarani za sola walizotuwekea hapa Mwenge - ziko wapi? Uwanja wa Taifa unahitaji matengenezo. Tatizo mchina analeta budget ya chini sana (tender) na kazi ataifanya lakini kama hukuwa makini utakuwa unalipa gharama kubwa kwenye matengenezo. Hata hili bomba la gas kama Ngeleja hajui akague nini watamwingiza mjini lazima.
   
Loading...