Ufisadi wa sasa chimbuko lake ni rushwa ya ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa sasa chimbuko lake ni rushwa ya ngono

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jatropha, Jun 30, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Mambo ya kifisadi yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yana chimbuko la muda mrefu sana, kwa wale waliokuwepo zama za Nyerere ilifikia wakati wakubwa katika Chama na Serikali, katika majeshi n.k wanapofanya ziara mikoani na katika vituo mbali mbali vya kazi ulikuwa ni utamaduni wa ofisa mwenyeji kumtayarisha mkubwa husika mwanamke wa kustarehe naye. Ikumbukwe kwamba mabosi wa wakati huo walikuwa hawawezi kabisa kutongoza wenyewe.

  Katika utaratribu huu hata wanafunzi walitumika kuwastarehesha viongozi mbali mbali wa chama na serikali. Kushindwa kumuandalia kiongozi mwanamke ilikuwa na maana kwamba haufai kuwa mkuu wa kitengo husika hata kama ulikuwa mtendaji mzuri wa kazi. Matokeo yake taratibu nchi ikaanza kuenea viongozi na watendaji ambao hawapati madaraka kutokana na utendaji bali ni kutokna na ukuadi!!!!!

  Matokeo ya rushwa hii ya ngono ni kuwa na kizazi cha viongozi kutoka ngazi ya shina hadi taifa ambao wamepata madaraka kutokana na umahiri wa ukaadi na siuo utendaji. Na hiki ndio chanzo kikuu cha matatizo ya Tanzania ya leo.

  Katika Awamu ya tatu ikavuma kuwa mmoja wa viongozi wandamizi mambo ya nje kazi yek kubwa ni kutanguliza vimwana kabla ya safari za mkubwa.

  Hiki ndicho chanzo cha ufisadi mkubwa uliotapakaa nchi nzima!!!!
   
 2. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hii kama kweli vile nikikumbuka zanzibar kuna jamaa mmoja alikuwa akizunguka na benzi jeusi kumtafutia bibi muheshimiwa rais wa kwanza zanzibar but I think chanzo hasa cha rushwa ni ubinafsi na kukosekana maadili ya uwajibikaji. Tuwe wawazi jamani mtu akigombea urais au uongozi anasema tu mdomoni but malengo yake hasa ni kujinufaisha yeye na familia yake.
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Kama upo wa sasa, wa zamani ukoje na chimbuko lake nini?
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Alikuwa na cheo gani huyu, ofisa, meneja, mkurugenzi, katibu au waziri?
   
 5. T

  TUNDE Senior Member

  #5
  May 16, 2016
  Joined: Apr 23, 2016
  Messages: 127
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Never underestimate the power of stupid people in large groups. Nimeipenda hiyo. Pamoja na ujinga wao, maadamu hao wajinga ni wengi watashinda na werevu watashindwa pamoja na werevu wao.

  Tyipical example to the topic underdiscussion ni Chuo cha Ufundi Arusha. A government should have a look at this College. It is terrible for sure! It is full of all kind of UFISADI
   
Loading...