Ufisadi wa Nyalandu, Nagu na BRELA huu hapa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hii imetoka kwenye mtandao wa BRELA.

Halafu mnasema mtawafikia RWANDA, KENYA na nchi zingine. Tanzania serikali yetu inafanya kila jitihada kurudisha watu nyuma. Kweli kwa bei hizi mtu ataanzisha kweli kampuni?


Kwa nini isiwepo uniform price tuseme:

ONLNE REGISTRATION Tshillings 10,000

PAPER (SAME DAY) REGISTRATION Tshillings 20,000

24 HRS REGISTRATION Tshillings Tshillings 15,000


Nnyalandu na Nagu kweli wanalitakia mema taifa hili?




For the registration of a company having capital whose nominal share capital i

(a) not more than Tshs.20,000/= but not more than Tshs.500,000/= 50,000/=

(b) more than Tshs.500,000/= but not more than Tshs.1,000,000/= 80,000/=

(c) more than Tshs.1,000,000/= but not more than Tshs.2,000,000/= 100,000/=

(d) more than Tshs.2,000,000/= but not more than Tshs.3,000,000/= 120,000/=

(e) more than Tshs.3,000,000/= but not more than Tshs.5,000,000/= 150,000/=

(f) more than Tshs.5,000,000/= but not more than Tshs.10,000,000/= 180,000/=

(g) more than Tshs.10,000,000/= but not more than Tshs.30,000,000/= 200,000/=

(h) more than Tshs.30,000,000/= ................................................. 300,000/=

2. For the registration of a company not having a share capital where the number of
members as stated in the Articles of Association:

(a) does not exceed 25 ............................................................ 50,000/=

(b) exceeds 25 but does not exceed 50 ............................................................................ 60,000/=

(c) exceeds 50 but does not exceed 100 ......................................................................... 70,000/=

(d) exceeds 100 but does not exceed 150 ....................................................................... 80,000/=

(e) exceeds 150 but does not exceed 200 ........................................................................ 90,000/=

(f) is unlimited ............................... 120,000/=50,000/=

3. For reservation of a company name .................15,000/=

4. For company name change ................

For the receipt and/or registration by Registrar of any document

5. which under the Act is to be delivered to him .............. 15,000/=

6. For the late filing/registration fee to be paid to the Registrar of any
document delivered to him (per month or part thereof) .............. 1,500/=

7. For filing of Annual Returns ................................................................. 15,000/=
8. For certification of any document, per page .......................................... 2,000/=
9. For making search in any file/perusal .................................................... 2,000/=
10. For obtaining a written search report per file ........................................ 15,000/=

11. Fees payable by a company to which Part XII of the Act applies:

(a) For the registration of certified copy of a charter, statute or
memorandum and articles of the company, or other instrument
constituting or defining the constitution of the company .........................
$ 500

(b) For registration of filling any document required to be delivered
to the Registrar under Part XII of the Act/other than the balance sheet .... $ 150

(c) For filling of Balance Sheet ....................................................................... $ 150

(d) For late filing/registration fee to be paid to the Registrar of any
document delivered to him out of time (per month or part thereof) ......... $ 15




Hivi kweli serikali ya Tanzania inataka twende mbele?

Vijana wamemaliza shule na wana utaalam na wanataka kujiajiri kweli kwa beihizi nani atajiajiri?
Ku serach jina la kampuni brela ilitakiwa iwe free tena ONLINE kwa nini watu wanaibiwa wizi mchana kweupe?
 
Mkuu ufisadi ni kitu gani? Mbona siuoni hapa?

Kitafsiri ni mtu yoyote yule ambaye kwa namna moja au nyingine kwa kutumia nafasi au mamlaka yake kuzuia, kuibia, na kuirudisha nyuma nchi kimaendeleo.

Hapo kwa utaelewa utaona BRELA wamenunua software ya Bilioni 2 ambayo ilitakkiwa irahisishe usajili wa biashara Tanzania lakini jiulize kwa nini waziri, naibu wake na katibu wao hawalipigii kelele hili la ufisadi uliodhihiri Brela?

Kwani kuingia online na kusearch jina la kampuni kwa nini mtu achajiwe?

hayo mapesa wanayotoza wananchi wewe unaona ni sawa?

Huo ndio unaitwa ufisadi kaka..si lazima mtu aibe pesa benki bali kurudisha nyuma nchi nako ni usisadi
 
Hivi Nyalandu au Nagu wamehusikaje hapa wakati hizi ni policy na regulation za BRELA iwe akiwepo Nyalandu au akiwa hayupo? Hii si kampuni ya Nyalandu wala Nagu useme wao ndo wanapanga bei naomba tuwe objective tunapotuma threat.
 
Mimi naona hizi bei ni za kawaida kabisa. Kama unafungua kampunia ya zaidi ya 30M hafu ukose laki 3 ya registration? Acha biashara
 
Mleta uzi unayo hoja ila hujaelezea vizuri!! Tulia kwanza, isome vizuri taarifa yako na rekebisha pale panapohitajika ili mtu wa pili na wa tatu tuweze kuelewa na kuchangia. Kama kuna magumashi, wahusika ni pamoja na hao akina Nyalandu na mwenzake.
 
(a) does not exceed 25 .................................................. .......... 50,000/=

Mkuu ebu fafanua hapo juu.
Is it not exceed 25 and not exceed 50? or is it not exceed 25 but exceed 50?
inachanganya sana hii
 
Hapo imekaa aje "not more than ---- but not more than -----. Au inamaanisha " not less than---- but not more than---??
Mleta mada fafanua au BRELA ndio wamekoroga lugha??
 
Kwanza hoja hazijapangiliwa, kuna swala la registration fees na online registration pia search fees
sasa ukiangalia huwezi kuwa na share capital ya 500,000 ukakosa 50,000 kama ada ya kusajili kampuni, ila hapo BRELA kuna mambo ya msingi ambayo yanapaswa kufanyiwa kazi ili kukimbizana na wenzetu kama Kenya, Rwanda nk.
1. Online registration kwa teknolojia ya sasa ni jambo la muhimu
2. Online annual return
3. Muda wa ku-process manually registration uwe mfupi kama vile siku moja au mbili.
4. Search fees iondolewe maana sasa kuna online search.

Tukifanikiwa kurekebisha hayo mambo na mengine mengi ambayo najua wenzangu watayasema/wameyasema basi tunaweza kusema sasa tunaingia mashindanoni na wenzetu vinginevyo tukae pembeni wao washindane wenyewe huko.
 
Mimi naona hizi bei ni za kawaida kabisa. Kama unafungua kampunia ya zaidi ya 30M hafu ukose laki 3 ya registration? Acha biashara


Sidhani kama mleta hoja kakosea

suala la msingi ni kuwa na uniform and reasonable pricing be it kampuni inaworth milioni 50 au milioni 5

wao waweke kusajili kampuni iwe chini ya elfu 30 ila mtu akitaka apewe usajili same day iongezwe kidogo na mtu akifanya online ipungue

Na kama online search ipi kwa nini watu watozwe elfu 20?
 
Kwanza hoja hazijapangiliwa, kuna swala la registration fees na online registration pia search fees
sasa ukiangalia huwezi kuwa na share capital ya 500,000 ukakosa 50,000 kama ada ya kusajili kampuni, ila hapo BRELA kuna mambo ya msingi ambayo yanapaswa kufanyiwa kazi ili kukimbizana na wenzetu kama Kenya, Rwanda nk.
1. Online registration kwa teknolojia ya sasa ni jambo la muhimu
2. Online annual return
3. Muda wa ku-process manually registration uwe mfupi kama vile siku moja au mbili.
4. Search fees iondolewe maana sasa kuna online search.

Tukifanikiwa kurekebisha hayo mambo na mengine mengi ambayo najua wenzangu watayasema/wameyasema basi tunaweza kusema sasa tunaingia mashindanoni na wenzetu vinginevyo tukae pembeni wao washindane wenyewe huko.

kaka

Kufungua kampuni RWANDA ni FREE hulipi kitu

Business registration : Register a company : Register a domestic company online : eRegulations RWANDA
 
Back
Top Bottom