Ufisadi wa mpira wetu tanzania

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
mechi serengeti boys vs congo lib iliingiza sh 23m,cha ajabu kamati ya maandalizi imepewa sh 1m!inauma sana kwa vijana
 
mechi serengeti boys vs congo lib iliingiza sh 23m,cha ajabu kamati ya maandalizi imepewa sh 1m!inauma sana kwa vijana

wewesubiri uone kama watasema lolote baada ya kuongea hayo mitz yote mijizi tu..:bowl:
 
haingi akilini mfadhili atoe tsh5m kusaidia timu,halafu anayesaidiwa anaweka mfukoni tsh22m!vijana hawana motisha kabisa
 
Back
Top Bottom