Ufisadi wa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi

ukweli ni kuwa serikali ya zanzibar ,..inatumia pesa nyingi sana kwenye gharama za utawala..juzi nilikuwa naangalia televisheni ...nikaona misafara ya viongozi wao .....msafara wa makamu wa kwanza wa rais zanzibar ambaye kiprotokali alitakiwa kuwa juu ulikuwa very simple na yeye mwenyewe alipanda Prado ..tena la kawaida [nadhani used..maana serikali ya znz huwa inayo hayo]....na gari hazikuzidi 5....
msafara wa seif idd ulikuwa na mercedes benz tatu...moja walipanda wake zake...na yeye alipanda mercedes benz 500s black mpya na moja ya wasaidizi ..na gari nyingine 5 landcruizer na landrover..
Picha niliyoiona pale ni kuwa CUF walionesha dhamira ya kweli ya kiongozi wa nchi maskini ..makamu wa kwanza wa rais ...amepanda simple prado..lakini kabla ya kumsifia napenda kama wasaidizi wake wapo humu watuambie ...kama maalim alipewa magari ya kifahari akakataa au serikali imeamua kumbagua kwa kumpatia magari za bei nafuu..kama alizikataa anasstahili sifa!!
 
Mwisho wa siku eti wanataka kuvunja Muungano! Pinda aliwaambia WAJARIBU waone! Naomba kuuliza hivi Jumbe kuishi kule Mji Mwema kilikuwa kifungo cha nje au aliamua mwenyewe?


Ndio kwao Mkuu kama ilivyo kwa Mwinyi Mkuranga.
 
tuna kazi kubwa. Safari ni ndefu. 2015 ni kuondosha ujinga wa namna hiyo tuanze sasa....inauma sana.
 
INA MAANA KIKWETE AMESHINDWA KUSOMA KWAMBA HIZO AJIRA MILION MOJA ALIZOTENGENEZA
NI WATU 300,000 WANAZIKALIA KWA KUWA NA AJIRA TATU TATU
KWA MFANO HUYO NAHODHA DUH(MBUNGE, MWAKILISHI, WAZIRI), hii katiba hii jamani bora iondoke
HAWA KWEILI VIWAVI
HIVI NAPE KAISHA RUDISHA RASMI CHEO CHETU MASASI NA LUKUVI CHA DAR,
AU DAR IMEACHWA WAZI, KWA AJILI YA FIRST LADY hatakaye jituma vizuri,
uchafu mtupu, wezi na wanyang'anyi.
na siku tukiwachoka tunalala hapo magogoni kwenye busitani za taus wetu

 
Anachotakiwa kufanya sasa ni kujiuzulu nafasi yake haraka
Kuna weledi wa Katiba walishaliona hilo. Legal authority inayo support angalizo lako ni hii:

KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977

71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake
katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:

(f) iwapo Mbunge anachaguliwa au anateuliwa kuwa
Makamu wa Rais;
 
Duh,

Hili pia ni la muhimu Jamiiforum? Msione mtu mmoja bali muone wabunge wote pamoja na wale wenu wa CHADEMA kufanya vikao Dodoma na Dar es Salaam na gharama za safari hizo. Hili hamlioni au ndio hivyo tena mtashindwa kujiepusha nalo. Mjuwe tu kuwa kila jambo lina maana yake, na asiyejuwa maana hafai kuambiwa kitu. "Juha wacha kupiga mayowe, wacha watu waone wenyewe" Hongerani wana music kwa kuona mbali.
 
Tuwe wakweli njia mbili zilimshinda fisi huwez kuwatumikia mabwana wawil kwa wakat mmoja daaah ila inauma sana pesa zetu zinavyotumika na mafisad heeeee mungu waangamize awa mafisadi
 
duh,

hili pia ni la muhimu jamiiforum? Msione mtu mmoja bali muone wabunge wote pamoja na wale wenu wa chadema kufanya vikao dodoma na dar es salaam na gharama za safari hizo. Hili hamlioni au ndio hivyo tena mtashindwa kujiepusha nalo. Mjuwe tu kuwa kila jambo lina maana yake, na asiyejuwa maana hafai kuambiwa kitu. "juha wacha kupiga mayowe, wacha watu waone wenyewe" hongerani wana music kwa kuona mbali.

jaman co lazma wote kuchangia kama aujaelewa uliza kuliko kuroPoka hovyo
 
Hakuna ufisadi wowote hapo, kwa hadhi yake ana stahili !

Ama kweli wewe ni GeniusBrain, acha wachache washike nafasi zote muhimu na kula keki yote ya Taifa wenyewe hata wewe na mimi tukose maana wanastahili...... VIVA LA Chukua Chako Mapema
 
Shamsa Vuai Nahodha, waziri wa mambo ya ndani ni Mbunge wa Jamhuri (kateuliwa na Rais Kikwete) na kule Zanzibar bado ni Mwakilishi katika baraza la mapinduzi. Ni kwamba Tanzania tuna shida ya watu wenye sifa za uongozi ama?

Muungwana hayo yote yanadhihirisha ukoma kwenye katiba yetu!! Mtu ana mivyeo yote hiyo na anatumia gharama nyingi za serikali. Huyu ni makamo wa Rais wa Zanzibar na kwa huki bara/muungano hajulikani kwa kuwa katiba mpya ya zanzibar ina vipengele ambavyo havitambuliwi na katiba ya JMT!! Vurugu tupu
 
Kuna weledi wa Katiba walishaliona hilo. Legal authority inayo support angalizo lako ni hii:

KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977

71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake
katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:

(f) iwapo Mbunge anachaguliwa au anateuliwa kuwa
Makamu wa Rais;

Kaka makamo wa Rais hapa ni Makamo wa Rais wa JMT!! Makamo wa Rais wote wa Zanzibar hawatambuliwi na Katiba ya JMT!!! Kwa hiyo hawezi kujiuzulu kwa ibara hiyo ya katiba. Tanzania kuna vituuuko eee bwana eeee hivi ni vituko Tanzania!!
 
Duh,

Hili pia ni la muhimu Jamiiforum? Msione mtu mmoja bali muone wabunge wote pamoja na wale wenu wa CHADEMA kufanya vikao Dodoma na Dar es Salaam na gharama za safari hizo. Hili hamlioni au ndio hivyo tena mtashindwa kujiepusha nalo. Mjuwe tu kuwa kila jambo lina maana yake, na asiyejuwa maana hafai kuambiwa kitu. "Juha wacha kupiga mayowe, wacha watu waone wenyewe" Hongerani wana music kwa kuona mbali.

Jiz-alendo... Duhh amakweli sina shaka hata wewe waweza kuwa na ajira zaidi ya moja maana kutokuwa nazo ni ujuha.. hahahahah
 
Back
Top Bottom