Hatuwezi kuuona ukweli wakati mada imeletwa hapa kisiasa badala ya ki-Hasibu. Kwa Wahasibu au wakaguzi wa hesabu huwezi kumkamata mtu mwizi bila vielelezo na ndio maana tunasema tarakimu pekee haitoshi kusema fedha iliyotumika ni nyingi au ndogo. Nani kasema wote hapa JF ni wanasiasa kila mtu na fani yake.
ha ha ha ... naweka picha ya kipepeo akimtuma mwanaye kununua soda ya fanta. mwanae anamwambia kuwa fanta ni dola laki tano za marekani. kipepeo yeye anatoa tu pesa huku akichekacheka kuwa watoto wa siku hizi wana tabia nzuri sana.