Ufisadi wa kupanga matokeo ya kandanda UK waanikwa

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Wachezaji wamekuwa wakilipwa mamilioni ya fedha ii kupaganga matokeo ya mechi za mpira wa mguu. Wamedai hutegemea pesa hizo ziwasaidie watakapostaafu mpira.

Hutakiwa kufanya faulu za makusudi ili kupewa kadi ya njano au nyekundu. Pia hufanya makosa ya kumlazimisha refa kuwatoa ndani ya mechi mfano kushambulia viungo nyeti vya wenzao. Kutolewa kwao nje hudhoofisha timu na kuifanya ishindwe.

Mchezaji Sam Sodje wa Nigeria (pichani) amenaswa live kwenye video kamera ya wadaku akidai huwalipa wachezaji Sh 80 mil (kadi ya njano) na Sh 143 Mil (kadi nyekundu). Michezo ni pamoja na kombe ya Dunia.

Wapelelezi wa mashtaka wameanza kuwahoji wahusika.

[h=1]AC Milan star Gennaro Gattuso investigated for match fixing[/h]
Former AC Milan midfielder Gennaro Gattuso is being investigated for match-fixing, Associated Press reports.
Four other people have been detained in connection with the alleged fixing of matches in Serie A three seasons ago.
Ex-Rangers star Gattuso, 35, is retired and was sacked by Serie B side Palermo after just six league games as manager.
He won two Serie A titles and two Champions League crowns during his 13-year spell with Milan and also the 2006 World Cup with Italy in Germany.
Gattuso took charge of Palermo in the summer after being sacked by Swiss side Sion but won just two games and has been replaced by Giuseppe Iachini.


Read more: £30,000 for a yellow card: Top footballers filmed 'admitting they fix matches for betting fraudsters' | Mail Online

article-2520102-19F290D600000578-596_306x423.jpg
 
naona moyes yumo na man u , maana ilishakuwa aibu , watu wanajipigia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom