Ufisadi wa CHADEMA Moshi: Ofisi zote Halmashauri ilikuwa zifungwe kwa wiki nzima!!!

Usichokijua vizuri ni usiku wa giza hio ilikuwa proposal ya mkurugenzi kwa mkuu wa mkoa na hesabu hiyo hafiki huko na zaidi katika barua tulioiona kwa mkuu wa mkoa madiwani wangelipwa posho ya siku tatu tu.

Ila kinachoonekana hapa mkurugenzi alikuwa amewapachika huko watumishi wengi sana kama 28 hivi waungane na madiwani madiwani ktk hiyo safari
 
Mohammed Bilal inafanya Kazi gani ... anatembea na mkasi mfukoni nchi nzima .. JK amesharudi kutoka kenya?

ah haha ha ha ha ha ha! Babu wa watu tena ameingiaje kwenye sakata?? Au alikua moja ya wajumbe?
 
Tujenge vijana kielimu na kuwaandaa kimaadili. Vinginevyo hata tukiweko sheria au mifumo mizuri kiasi gani bado tutajikuta na matatizo ya aina hii.

Wenye kuwezesha hili ni WAZAZI na WALIMU. Ni huzuni kuwa walimu muda huu wamegoma hivyo kazi/zoezi hili haliwezi kufanyika wala kufanikiwa ktk mazingira ya sasa. We simply need a complete overhauling.
 
Tujenge vijana kielimu na kuwaandaa kimaadili. Vinginevyo hata tukiweka sheria au mifumo mizuri kiasi gani bado tutajikuta na matatizo ya aina hii.

Wenye kuwezesha hili ni WAZAZI na WALIMU. Ni huzuni kuwa walimu muda huu wamegoma hivyo kazi/zoezi hili haliwezi kufanyika wala kufanikiwa ktk mazingira ya sasa.

Maendeleo lazima yawe kwa watu. Vitu vije baada ya kuwa watu wameendelezwa. Mpaka sasa tumekuwa tunafanya kinyume, tunaanza na vitu kisha watu.

We simply need a complete overhauling
 
Mnduoeye ndiyo maana nikahisi kuwa mtoa mada anaweza akawa amekoleza chumvi. siamini watu makini wanaweza kukanyaga kinyesi kirahisi kivile! asante kwa ufafanuzi naamini mwenye kujua sakata hilo kwa uhakika bila kujali kama kweli umeukalia ama la atatujuza sisi wenye msimamo wa kati.
 
Training ni Muhimu sana!! Ila uaamuzi aliofanywa na Mkuu wa Mkoa Kushauri waende Kwa awamu nao sio Mbaya!! Kwenye Hii Nchi ni Madudu mengi sana yanafanyika na wakubwa wanayafumbia Macho!! Hili la Training Nalipa Pongezi!! Unaona jeshi la Polisi linavyojisafisha na Maji Taka kwa sababu ya kutokuwa na Polisi wasiokuwa trained!! Lack of Knowledge!! Keep my word!
 
Sikubaliani na hii safari kwa Gama kuwakatalia CDM tu ni Unafiki mkubwa wa CMM inatakiwa tuone safari zote za nje ziszokuwa na tija zinafutwa Hasa za TRAVELLER AKA RAIS WA MAMBO YA NJE dr dr dr dr dr Col MP Former Minister CHAIr Man wa Magamba JK. Itakuwa fare
 
Katika kile ambacho kingeushangaza umma wa kiTanzania, uongozi WOTE wa Halmashauri ya mji wa Moshi ilijipangia safari ya kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya matembezi ya kusafisha macho na kuona usafi wa Jiji la Kigali.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Lawrence Gama / ingewahusu Madiwani wote pamoja na Meya, wakuu wa Idara wote(pamoja nafikiri na Mkurugenzi),viongozi waandamizi wote kwenye halmashauri.

Hii Halmashauri inaongoza na Meya Jafari Michael na ina uwingi wa maDiwani wa CHADEMA pengine kuliko halmashauri yoyote nchini.

Meya Jafari Michael(CHADEMA) amesikika Radio One asubuhi hii akilalama kuhusu kuingiliwa na Mkuu wa Mkoa kuhusu safari hiyo.
Ati alikuwa waende "kujifunza usafi" kutoka Kigali-sawa na kumfundisha ng'ombe kutengeneza maziwa!

Haya wana CDM changamoto kwenu na utawala bora, matumizi sahihi ya fedha za mlipa kodi, somo la ufisadi bado kitendawili hata kwa wateule wenu.

Reading between the lines kilichokusukuma ni UMBEA zaidi ya uzalendo.

Wingi wa Madiwani wa CHADEMA haukuwazuia madiwani wa vyama vingine kugomea mpango huo. Nani ajuaye pengine hata wazo hilo lilitoka kwa madiwani wa CCM. Na ikiwa bajeti ya halmashauri yao inaruhusu na wao wakaona ni jambo la manufaa kwa halmashauri yao shida iko wapi?

Hata hivyo, ilikuwa safari ya kipuuzi. Lilikuwa ni suala la kumpeleka Afisa Mazingira na mwingine anayehusika ambaye ktk kurudi kwake angetoa elimu aliyoipata huko kwa madiwani na wadau wengine
 
Training ni Muhimu sana!! Ila uaamuzi aliofanywa na Mkuu wa Mkoa Kushauri waende Kwa awamu nao sio Mbaya!! Kwenye Hii Nchi ni Madudu mengi sana yanafanyika na wakubwa wanayafumbia Macho!! Hili la Training Nalipa Pongezi!! Unaona jeshi la Polisi linavyojisafisha na Maji Taka kwa sababu ya kutokuwa na Polisi wasiokuwa trained!! Lack of Knowledge!! Keep my word!

Hata kwenda kwa awamu ni upumbavu vile vile kwani gharama zita sum up pale pale au pengine zitazidi. Aende mmoja au wawili na akirudi atoe elimu aliyoipata kwa wenzake.

Kama kujifunza kitu inalazimu wanaotakiwa kujifunza waende wote itakuwaje siku itakapobidi wakulima wakajifunze kilimo bora Marekani, watakwenda wote?
 
Mmeiona hiyo tu. Za mkuu wa. kaya mbona hamsemi kama ni ufisadi. Maake naona sasa amekuwa kama VASCO DA GAMA.
 
Sitaki kuona mshabiki yeyote wa Chadema analeta unazi wake hapa. Hongera sana Mkuu wa Mkoa bwana Gama kwa kuzuia uhuni huu, Moshi ndio watu wanapaswa kwenda kujifunza usafi na si wao kwenda kujifunza usafi kwingine.

By the way jamani hivi usafi nao unafundishwa au ni kuagiza vifaa vya kufanyia usafi? huu ni uhuni na kamwe haukubaliki.


Mkuu tuko pamoja.. Kwa kweli nimekuwa so disappointed kwa hao madiwani maana wameweka maslahi yao mbele kabla ya wengine.. Ni vizuri waelewe wamechaguliwa kuwatumikia wananchi wa wilaya ya moshi.. Hii inaonyesha wako viongozi ambao wanapopata nafaci wanaweka maslahi yao mbele.. Ombi langu ni kwa uongozi wa juu wa CDM kuliangalia hili kwa umakini.. Nampa hongera Mkuu wa Mkoa kwa kulisimamisha hili.. Moshi inacifika kwa usafi kitambo..
 
Mkuu hata mimi hilo swala nimelisikia kwenye taarifa ya habari, aliekuwa anapanga safari hiyo ni meya wa CHADEMA. eti wakajifunze usafi wa jiji, yaani wao wameona kuwa changamoto kubwa ni usafi wakati baadhi ya vijiji havina maji safi. Mimi sina wasiwasi na CHADEMA, kama wangefanikiwa kwenda huko basi kamanda mbowe angepiga chini wote haraka sana
 
Mkuu hata mimi hilo swala nimelisikia kwenye taarifa ya habari, aliekuwa anapanga safari hiyo ni meya wa CHADEMA. eti wakajifunze usafi wa jiji, yaani wao wameona kuwa changamoto kubwa ni usafi wakati baadhi ya vijiji havina maji safi. Mimi sina wasiwasi na CHADEMA, kama wangefanikiwa kwenda huko basi kamanda mbowe angepiga chini wote haraka sana
 
Hawa Chadema nao mbona wanakuwa wanafiki hivi jamani? Yaani watu waliokuwa wanategemewa kuleta mabadiliko ndiyo wanakuwa wa kwanza kutuibia wananchi.
 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Lawrence Gama, .

Ukishakuwa CCM, akili na umakini vinapotea kabisa...
Dkt. Lawrence Gama (RIP) ana utofauti sana na Leonidas Gama. Kwa kuwa ulikuwa unaleta umbea, basi hata mambo ya msingi kama hayo yamekushinda. Nikushauri tu wewe na wenzako wote, Ndesa na timu yake na wananchi woooote waume kwa wake watawatesa sana kwa nguvu kubwa wanayoipa CHADEMA..

Mlikujaga na stori ya Diwani kutokumpa lifti mgonja, mpaka akafa. Sijui imeishia wapi? Narudia, mtasubiria sana mkono udondoke, lakini hautadondoka kamwe..
 
nawambia ndugu zangu ,ufisadi bwana cyo chama ni m2 ona sasa hapo meya chadema anakuwa fisadi lakini mkuu wa mkoa wa ccm kakataa ufisadi ,nashauri kwene ufisadi tusikiseme chama tumseme mhusika.
ndiyo maana kuna kanuni sheria na taratibu.wawajibishwe mara moja hao madiwani,hatutajki kuona viongozi walafi na wanafiki.kwani lazima wakajifunze lwanda,hawajui kufanya usafi,wapuuzi sana.huyo mea piga chini fasta.
 
Back
Top Bottom