Ufisadi umeanzia kwenye familia mpaka ngazi ya taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi umeanzia kwenye familia mpaka ngazi ya taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nitonye, Jan 9, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ndugu wanajamvi neno hili la ufisadi limekuwa likiongelewa sana kwenye midomo ya watanzania kwa kuwashutumu au kuwalaumu viongozi kwa kufanya ufisadi. Tumejaribu kujadili matokea kuliko kujadili chanzo cha hili neno ufisadi binafsi katika hili ufisadi unaanzia kwenye familia zetu hadi ngazi ya taifa. Mfano baba anamuachia mama nyumbani 10,000 mama anaamua kumega 2,000 na kuweka pembeni na mwambia mme wake pesa imeisha, mtoto anatumwa kitu dukani asipoulizwa chenji anaibania. Ili tuweze kupigana na hili zimwi ufisadi tuanzie kwenye famila zetu ili tujenge kizazi kilicho bora
   
 2. l

  leloson Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtindo huo, hupat mteja hapo, next level to the bottom, ingefaa sana kule facebuk
   
Loading...