UFISADI: Another 105 billions stolen

Interesting observation Makiya
Jamani Wanajf mnaonaje tukianzisha thread hukusu Caspian Construction na dili zao..kwasababu naona billion 700 za bush zinaelekea huko!! Now Tanzanians are paying the price...we are paying back the money CCM owes to its debtors..Upinzani mpo au you are also in shock??
 
Masatu pamoja na data zako zisizojitosheleza hiyo barabara ina mapungufu mengi sana na ni jambo lisilo na kificho.

Huu ufisadi sijajuwa vizuri utatufikisha wapi tusipoukomalia kwa kwenda mbele jamani. Jana Bush alitufagilia kwamba tuko smart kwenye matumizi ya pesa nilitaka kutapika kwa kweli. Au zinazoliwa ni kodi zetu za nje wanazigoma kama alivyosema Mkuu wa nchi siku moja?
 
Heshima mbele wakuu.....

Naona pale miundombinu palikuwa na mushkeli.... Sasa pesa za TCRA zinapelekwa kujenga mabarabara na viwanja vya ndege, sasa zile za RFB na TAA zitaenda kujenga nini?? Is it planning au nini tena jamani!!?!?!?!

http://www.mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=4786

Hilo ni Mwananchi la leo...........
 
NILIKUWA HOME NAJISOMEA SOMEA KATIKA BIBLIA NIKAKUTANA NA AYA AMBAYO NIMEWEKA HAPO CHINI, THIS IS A DEDICATION TO ALL MAFISADI, SIKU MACHOZI YA WANYONGE YATAKAPOGEUKA BAHARI YENYE TUFANI NA KUWASOMBA NYOTE SURELY I TELL YOU SIKU HIYO INAKUJA, JUST WAIT AND SEE.
ZABURI 10[1] Why standest thou afar off, O LORD? why hidest thou thyself in times of trouble?
[2] The wicked in his pride doth persecute the poor: let them be taken in the devices that they have imagined.
[3] For the wicked boasteth of his heart's desire, and blesseth the covetous, whom the LORD abhorreth.
[4] The wicked, through the pride of his countenance, will not seek after God: God is not in all his thoughts.
[5] His ways are always grievous; thy judgments are far above out of his sight: as for all his enemies, he puffeth at them.
[6] He hath said in his heart, I shall not be moved: for I shall never be in adversity.
[7] His mouth is full of cursing and deceit and fraud: under his tongue is mischief and vanity.
[8] He sitteth in the lurking places of the villages: in the secret places doth he murder the innocent: his eyes are privily set against the poor.
[9] He lieth in wait secretly as a lion in his den: he lieth in wait to catch the poor: he doth catch the poor, when he draweth him into his net.
[10] He croucheth, and humbleth himself, that the poor may fall by his strong ones.
[11] He hath said in his heart, God hath forgotten: he hideth his face; he will never see it.
[12] Arise, O LORD; O God, lift up thine hand: forget not the humble.
[13] Wherefore doth the wicked contemn God? he hath said in his heart, Thou wilt not require it.
[14] Thou hast seen it; for thou beholdest mischief and spite, to requite it with thy hand: the poor committeth himself unto thee; thou art the helper of the fatherless.
[15] Break thou the arm of the wicked and the evil man: seek out his wickedness till thou find none.
[16] The LORD is King for ever and ever: the heathen are perished out of his land.
[17] LORD, thou hast heard the desire of the humble: thou wilt prepare their heart, thou wilt cause thine ear to hear:
[18] To judge the fatherless and the oppressed, that the man of the earth may no more oppress.
 
NILIKUWA HOME NAJISOMEA SOMEA KATIKA BIBLIA NIKAKUTANA NA AYA AMBAYO NIMEWEKA HAPO CHINI, THIS IS A DEDICATION TO ALL MAFISADI, SIKU MACHOZI YA WANYONGE YATAKAPOGEUKA BAHARI YENYE TUFANI NA KUWASOMBA NYOTE SURELY I TELL YOU SIKU HIYO INAKUJA, JUST WAIT AND SEE.
ZABURI 10 [1] Why standest thou afar off, O LORD? why hidest thou thyself in times of trouble?
[2] The wicked in his pride doth persecute the poor: let them be taken in the devices that they have imagined.
[3] For the wicked boasteth of his heart's desire, and blesseth the covetous, whom the LORD abhorreth.
[4] The wicked, through the pride of his countenance, will not seek after God: God is not in all his thoughts.
[5] His ways are always grievous; thy judgments are far above out of his sight: as for all his enemies, he puffeth at them.
[6] He hath said in his heart, I shall not be moved: for I shall never be in adversity.
[7] His mouth is full of cursing and deceit and fraud: under his tongue is mischief and vanity.
[8] He sitteth in the lurking places of the villages: in the secret places doth he murder the innocent: his eyes are privily set against the poor.
[9] He lieth in wait secretly as a lion in his den: he lieth in wait to catch the poor: he doth catch the poor, when he draweth him into his net.
[10] He croucheth, and humbleth himself, that the poor may fall by his strong ones.
[11] He hath said in his heart, God hath forgotten: he hideth his face; he will never see it.
[12] Arise, O LORD; O God, lift up thine hand: forget not the humble.
[13] Wherefore doth the wicked contemn God? he hath said in his heart, Thou wilt not require it.
[14] Thou hast seen it; for thou beholdest mischief and spite, to requite it with thy hand: the poor committeth himself unto thee; thou art the helper of the fatherless.
[15] Break thou the arm of the wicked and the evil man: seek out his wickedness till thou find none.
[16] The LORD is King for ever and ever: the heathen are perished out of his land.
[17] LORD, thou hast heard the desire of the humble: thou wilt prepare their heart, thou wilt cause thine ear to hear:
[18] To judge the fatherless and the oppressed, that the man of the earth may no more oppress.
 
Maskini, Tz yetu (si yao)!

Pamoja na kuyasikia hayo ya TICTS 'Tiscan' huko bandarini kama yalivyoelezwa na kamati ya bunge miundombinu pia kwenye gazeti la Thisday, KUNA NYINGINE NILIKUTANA NAYO MAJUZI HUKO MKOANI LINDI.

Kampuni ya kuwait ya KAFARI inayojenga barabara huko Lindi, ilisaini mkataba na Serikali wa 51bilions, lakini hadi sasa kumalizika kwa kazi imelamba mshiko wa 105bilions!
YAANI hizo 54bilions za ziada yasemekana zilitumika kukampeni SISIEMU.

Lakusikitisha sasa kampuni ikajenga barabara kwa tope lililokataliwa na wataalamu wa barabara. Na SISIEMU wakasema DOLE TUPU! ajabu nikaambiwa ati itadumu kwa miaka 20!

Zaidi majuzi serikali hiyohiyo ya CCM akatengua mkataba wa kujenga barabara eneo la daraja la mkapa kwa kuwa KARAFI haikuwa kwenye nafasi ya kushinda tenda, na sasa wametangaza tena ili mazingira mazuri yatengenezwe kuipatia tena kampuni hiyo tenda kusuport hela ya kampeni 2010, MPOOOOOOOOOOO! Wadanganyika? JE tutafika?

TENA MMOJA WA WASIMAMIZI WA HUU MRADI NI MMOJA WA WAMILIKI YA KATI MAKAPUNI 22 WAWALIOTAJA KUCHOTA MABILLIONI YA EPA SASA HIVI AMEKIMBILIA MALAWI NYUMBA ZAKE NA VITEGA UCHUMI BADO VINAPETA NA WIFE WAKE HUKU TZ WAKISUBURI TZ 'WASAHAU' KAMA KAWAIDA YAO
 
UFISADI NCHINI TANZANIA

Ndugu wana jamboforums, napenda nitoe maoni yangu kuhusu tatizo la ufisadi hapa nchini. Ni ukweli usiofichika kwamba Tanzania inakabiliwa na tatizo la ufisadi katika sekta nyingi za umma kwa sababu tu baadhi ya viongozi wa juu serikalini walishindwa kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi.

Aidha ni vyema pia tukatambua masuala mawili muhimu tunapojadili tatizo la ufisadi; kwanza, tatizo la ufisadi lilipo sasa ni matokeo ya utendaji mbovu wa muda mrefu wa baadhi ya viongozi serikalini, pili, mfumo wa utendaji serikalini kwa sasa bado haujakaa sawa kuweza kurekebisha kasoro zote za ufisadi zilizopo. Kutokana na hali hiyo vita dhidi ya ufisadi ni mchakato wa muda mrefu na kwa hali hiyo matatizo yote ya ufisadi hayawezi kutatuliwa kwa wakati mmoja, taasisi moja au mtu mmoja.

Kwa hivi sasa hakuna sababu ya kuanza kulaumiana na kukashifiana. Kinachotakiwa ni kujipanga upya ili kuweza kutafuta njia (namna) ya kuondoka hapo tulipo. Tumpe ushirikiano Rais KIKWETE kwani ameanza kuonyesha ushujaa na dhamira yake ya dhati katika kupambana na ufisadi serikalini kwa kufanya yafuatayo:

(i) Rais amefanya maamuzi mazito ndani ya BoT kwa kumfukuza kazi aliyekuwa Gavana wa taasisi hiyo DAUDI BALLALI na kumteua mpya Prof. BENNO NDULU. Halikadhalika ameagiza makampuni na maofisa waliohusika wachukuliwe hatua za kisheria na fedha hizo zirejeshwe.

(ii) Serikali imechukua hatua dhidi ya kashfa ya “Richmond Development Company” (RDC) ambapo Novemba 13 2007 kamati teule iliundwa na Bunge la Jamhuri ya Tanzania kuchunguza mchakato wa zabuni ya uzalishaji umeme wa dharura ulioipa ushindi Kampundi ya “Richmond”. Uchunguzi huo ulipelekea aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD LOWASA kujiuzulu pamoja na waliokuwa mawaziri wa Nishati na Madini Dk. IBRAHIMU MSABAHA na NAZAR KARAMAGI kujiuzulu. Hatua hiyo ilikwenda sambamba na uamuzi wa Rais wa kulivunja Baraza la Mawaziri na kutangaza jipya tarehe 12 Februari, 2008.

(iii) Serikali imeunda timu maalum ya kuchunguza mapendekezo 23 ya taarifa ya Kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. HARRISON MWAKYEMBE na imekabidhiwa nyaraka zote muhimu kutoka bungeni na imeshaanza kuzipitia kwa kina ili kubaini makosa yoyote yaliyofanywa na wahusika katika mkataba huo wa “Richmond”.

(iv) Novemba 13, 2007 aliunda kamati ya madini yenye wajumbe kumi na mbili (12), jaji MARK BOMANI akiwa mwenyekiti wa kamati hiyo; lengo likiwa kuzipitia upya (kuhakiki) sheria za madini ili kuiokoa sekta ya madini nchini.

Kutokana na hali hiyo ni vizuri tusubiri hizo hatua anazochukua Rais ili tuweze kutoa maoni ipasavyo.
 
Mr Clean, info nzuri... Lakini kabla hatujaweza kuichambua mada hii naomba utusaidie kutuambia ni barabara gani hiyo unayoiongelea? Sababu hapo jamaa wanaweza wakawa na vielelezo kisha tukaonekana kwamba hatuna facts. Uzuri ukituambia ni barabara gani tutatafuta technical info na kutoa wazi hiyo "so called variation/cost overruns" ni ya kweli au girini tuu!! Pia hawa Kharafi kwa wale tulio katika construction industry tunwajua sana kwa mambo yao ya "kupiga mabao" lakini kwa hili hatuwezi kuwahukumu mpaka tujue kulikoni!!

Sisemi kwamba nakataa kwamba kuna mkono wa mtu kwenye hilo swala lakini siwezi kukubali sababu sina vielelezo.

Hili la pili la abortion ya hiyo tender at last minute naomba uangalie hii “thread” kwani tulishalijaribu kuliweka hapa ili tuambiwe ukweli lakini naona mambo yakawa patupu…… soma

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8699

Ukweli ni kwamba lazima wote tujue kwamba katika miradi yenye pesa nyingi na migumu kuona mazingaombwe ni ya barabara... Nakumbuka kuna wakati ilifanyika Technical Auditing ya Road Funds ambapo nasikia (through the bomba) ni matumbo matupu yalionekana kule ndani (TANROADS, TAMISEMI, RFB, MOW)...... lakini bahati mbaya report wengi tuliisikia tu na sikusikia tena kama hii ilifanyika tena (iklikuwa mwanzoni mwa 2000s)....

Bottom line is ngoja tumalize kwenye BoT, TICTS, CIS tukimaliza huko then tutarudi kwenye hizi barabara zetu kuanzia quality, tender process, financial aspects kisha tuwasulubu wale waliokula mapesa yetu!!!

Morani75

Contractor normaly ana-itemize vitu vyote vinavyohusiana na hiyo variation na rates zake kabla hazijawa aproved. Kwa hiyo kama wanataka kuona kama kuna ufisadi ni rahisi sana kugundua. Wafuatilie tu BOQs, variations requests and orders n.k. Lakini kwenye hii inaonyesha kabisa kuwa kuna tatizo katika hiyo contract maana kwenye road construction hasa mahali kama TZ ambako kuna miradi mingi inayoendelea, variation ya more than 20% inatakiwa isiwepo kwa kuwa rates zote zinajulikana na geological information ambazo mara nyingi ndio zinazosababisha variations, ziko za kutosha kwani barabara inayojengwa inafuata iliyokuwepo hapo awali. Lakini kama;
1). Design Consultant alikuwa ni mbumbumbu sana na engineering estimates zake zilikuwa tofauti sana na tendered, kitu ambacho kingegundulika awali kabla ya ku-award tender; au
2). Kama Tendering process ilikuwa ina makosa hasa kwenye technical na financial evaluation, kitu ambacho ni rare kama kazi ilikuwa tendered na watu wengi,

Then variation kubwa inaweza ikawepo lakini inakuwa imejumlishwa kwenye final contract sum at least @ 20%. Hivyo, hiyo 51million tayari itakuwa ina variations as lump sum. Lakini hii ya 100% over and above total contract sum ni ya kushangaza kwa miradi ambayo inafahamika vema. Kwa kawaida Variation kubwa kiasi hicho ni kwa special projects ambazo kuna unknown factors nyingi au technologia yake bado iko kwenye research wakati ujenzi unapoendelea, which this is not the case. Definitely there is a case to be answered just like the BOT twin tower contract.
 
Kubwaj...., point taken lakini ukifuatilia kwenye posti hiyo na maelezo (referenced) ni kwamba kuna mushkeli mahali..... Pia msisitizo umewekwa kwenye hiyo last part ambayo imekuwa BOLD!!(angalia quote hapo last 3 lines za quote)
 
UFISADI NCHINI TANZANIA

Ndugu wana jamboforums, napenda nitoe maoni yangu kuhusu tatizo la ufisadi hapa nchini. Ni ukweli usiofichika kwamba Tanzania inakabiliwa na tatizo la ufisadi katika sekta nyingi za umma kwa sababu tu baadhi ya viongozi wa juu serikalini walishindwa kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi.

Aidha ni vyema pia tukatambua masuala mawili muhimu tunapojadili tatizo la ufisadi; kwanza, tatizo la ufisadi lilipo sasa ni matokeo ya utendaji mbovu wa muda mrefu wa baadhi ya viongozi serikalini, pili, mfumo wa utendaji serikalini kwa sasa bado haujakaa sawa kuweza kurekebisha kasoro zote za ufisadi zilizopo. Kutokana na hali hiyo vita dhidi ya ufisadi ni mchakato wa muda mrefu na kwa hali hiyo matatizo yote ya ufisadi hayawezi kutatuliwa kwa wakati mmoja, taasisi moja au mtu mmoja.

Kwa hivi sasa hakuna sababu ya kuanza kulaumiana na kukashifiana. Kinachotakiwa ni kujipanga upya ili kuweza kutafuta njia (namna) ya kuondoka hapo tulipo. Tumpe ushirikiano Rais KIKWETE kwani ameanza kuonyesha ushujaa na dhamira yake ya dhati katika kupambana na ufisadi serikalini kwa kufanya yafuatayo:

(i) Rais amefanya maamuzi mazito ndani ya BoT kwa kumfukuza kazi aliyekuwa Gavana wa taasisi hiyo DAUDI BALLALI na kumteua mpya Prof. BENNO NDULU. Halikadhalika ameagiza makampuni na maofisa waliohusika wachukuliwe hatua za kisheria na fedha hizo zirejeshwe.

(ii) Serikali imechukua hatua dhidi ya kashfa ya “Richmond Development Company” (RDC) ambapo Novemba 13 2007 kamati teule iliundwa na Bunge la Jamhuri ya Tanzania kuchunguza mchakato wa zabuni ya uzalishaji umeme wa dharura ulioipa ushindi Kampundi ya “Richmond”. Uchunguzi huo ulipelekea aliyekuwa Waziri Mkuu EDWARD LOWASA kujiuzulu pamoja na waliokuwa mawaziri wa Nishati na Madini Dk. IBRAHIMU MSABAHA na NAZAR KARAMAGI kujiuzulu. Hatua hiyo ilikwenda sambamba na uamuzi wa Rais wa kulivunja Baraza la Mawaziri na kutangaza jipya tarehe 12 Februari, 2008.

(iii) Serikali imeunda timu maalum ya kuchunguza mapendekezo 23 ya taarifa ya Kamati teule ya Bunge iliyoongozwa na Dk. HARRISON MWAKYEMBE na imekabidhiwa nyaraka zote muhimu kutoka bungeni na imeshaanza kuzipitia kwa kina ili kubaini makosa yoyote yaliyofanywa na wahusika katika mkataba huo wa “Richmond”.

(iv) Novemba 13, 2007 aliunda kamati ya madini yenye wajumbe kumi na mbili (12), jaji MARK BOMANI akiwa mwenyekiti wa kamati hiyo; lengo likiwa kuzipitia upya (kuhakiki) sheria za madini ili kuiokoa sekta ya madini nchini.

Kutokana na hali hiyo ni vizuri tusubiri hizo hatua anazochukua Rais ili tuweze kutoa maoni ipasavyo.

Mwanajamii???,

Naona unaongea vizuri na kukokotoa vibwagizo vya hotuba za JK na mawaziri wake kama vile wewe ni msemaji wa ofisi ya raisi, hongera sana. Lakini naona utuachie na sisu tuendelee kudodosa ya kwetu yanayojumlisha kulaumu, kukosoa, kukebehi na pia kuna kushauri. JK na timu yake wataamua kuchagua lipi walinyake liwasaidie au wabadilike.

Wabongo wenzetu na pia baadhi ya wabunge wetu, hapa JF ndio shule yao kubwa siku hizi. JF inawapa miwani ya kuiangalia Sirikali yao bila kuwaonea aibu, kama wewe inavyoelekea kuwa na roho nyororo kwao. Hata hivyo Mwanajamii, noana umejitahidi sana kuiombea serikali muda zaidi wa kuboronga, kufisadi, kupotosha n.k. kama ulivyo-summarise kwenye hiyo sentensi yako ya mwisho inayosema;

....... ni vizuri tusubiri hizo hatua anazochukua Rais ili tuweze kutoa maoni ipasavyo.
 
Kubwaj...., point taken lakini ukifuatilia kwenye posti hiyo na maelezo (referenced) ni kwamba kuna mushkeli mahali..... Pia msisitizo umewekwa kwenye hiyo last part ambayo imekuwa BOLD!!(angalia quote hapo last 3 lines za quote)

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa na ufafanuzi wako wa hapo awali, lakini sikuielewa hiyo quote hapo juu. Ninachosisitiza ni kuwa, no matter what, ongezeko la +100% kwa ajili ya variations tu ni kubwa kupita kiasi hata kama kokoto zingetoka +600km over their tendered distance. Bare in mind kuwa tayari kazi kubwa ya ujenzi ilikuwa tayari imeshagharimiwa au kufanyika, kama; clearing, surveying, compaction ya base, sub base n.k. Pia gharama kubwa kama mobilization/demobilization nazo tayari zilishajumuishwa kwenye ile 51billion. Kwa hiyo basis ya ku-double hiyo construction cost sijui zinatoka wapi no matter who blundered in the whole process. Mind you, surfacing ni sehemu ndogo sana, interms of gharama, katika road construction.

Nafikiri kama kuna mtu anaweza akatunyofolea some documents za hiyo contract na hizo variations tunaweza tukaupasua huu mkataba vizuri zaidi maana dalili za ulaji ziko wazi wazi from miles away.
 
Back
Top Bottom