UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

Hivi huyu si aliwahi kuwa boss pale Jangwani? Aliwaacha salama kweli?
 
halafu mahakama ya mafisadi inakosa washtakiwa!! Tanzania kula hela ya wananchi simple sana.
Mpaka sasa sijui TAKUKURU wanafanya kazi ya kupambana na nani. Wizi huu ndio ilikuwa njia ya wao kuchukua ujiko kwa Magufuli
 
Mambo ya mpira ndivyo yalivyo. PCCB walikuja juu pale Aveva wa Simba Sports Club alopohamisha mamilioni ya pesa za klabu kuziingiza kwenye akaunti yake binafsi. Wadau wa mpira tuliamini PCCB walikuwa serious. Nani kasikia mwisho wa ile saga? Ni wazi imezimwa kwa nguvu ya pesa!!!
 
Mi nilianza kuona shida ys Malinzi alipoanza kuchagua viongozi wa zile kaamati kila nina Kashozi.....ukilala ukiamka Kashozi nikajua hapa hatuna kiongozi bora hata angeendelea Tenga......Malinzi si mtu wa mpira na haujui!!!! Ngoja niendelee kufuatilia EPL afadhali!!
Mwafaaaaa!!!
 
Mambo ya mpira ndivyo yalivyo. PCCB walikuja juu pale Aveva wa Simba Sports Club alopohamisha mamilioni ya pesa za klabu kuziingiza kwenye akaunti yake binafsi. Wadau wa mpira tuliamini PCCB walikuwa serious. Nani kasikia mwisho wa ile saga? Ni wazi imezimwa kwa nguvu ya pesa!!!
Mpira wa Tanzania ni kichefu chefu kabisa,khraaaaah!!!
Hela ya Okwi ilishaliwa na hakuna kinachoendelea.......oparesheni za PCCB ni kama za Makonda.......walimu wapande bure........operesheni ondoa omba omba........opereasheni ondoa makahaba........tokomeza shisha......saiz.......??? Zinavyoisha hata hujui hata fununu husikiii
PCCB bana basi tu!!!
 
Back
Top Bottom