Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

Kakimbia tayari!!

Watu kama tunawapa kiburi members wenyewe, hvi akileta utumbo kama huu tukamwachia mwenyewe achangie hawezi kujifunza kweli. Hivi tutabaki kuhangaika na hawa kweli? mimi bora mod ani-burn tu nijiondokee humu kwa walevi.
 
Mkuu maisha ya Tanzania hayaendi sasa bili rushwa hivi tusipokula rushwa tutakula wapiiiiiiiiiiiiiiii Raisi wetu katokana na rushwa sasa unafikiri itakuaje maisha bila ya rushwa?????????????
 
ukweli utabaki kuwa ukweli!

ni wazi kuwa kada wa ccm haruna masebu, ambaye ni mkurugenzi wa ewura yuko kazini kisawa sawa, masebu ambaye akiwa mkufunzi wa chuo cha ardhi wakati ule, alikuwa pia ndiye katibu wa ccm tawi la chuo cha ardhi na swahiba mkuu wa lowasa. lowasa alivyochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri wa ardhi, jambo la kwanza lilikuwa ni kumteua masebu kuwa mkurugenzi mkuu wa national housing, baadaye PSRC na sasa EWURA.

wiki mbili zilizopita ewura ilitangaza ongezeko la bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa, ongezeko hilo lilikuwa ni makubaliano kati ya mtu huyu na makampuni makubwa ya kifisadi ya mafuta na mkumbuke kuwa chaguzi za ccm nazo zilianza wiki mbili zilizopita. makampuni hayo yalikuwa yanatoa kama shs 100/- kwa kila lita ya mafuta hayo kufidia au kugharamia chaguzi za ccm

chaguzi za ccm zinakaribia kumalizika, na kwa kuwa ewura wanaogopa kuumbuka, leo wametangaza kushusha bei za mafuta karibia na ile bei iliyokuwepo kabla ya kupandisha kupata fedha za kufidia chaguzi za ccm.

ewura waje hapa wakane taarifa hii, nitawapa data toka yanakoagizwa mafuta , na hali ya mafuta nchi jirani za soko la pamoja la afrika mashariki.

ni vema pia kwa hujuma hii mkajua masebu ni ani katika nchi hii, ambapo uraia wake ukweli ni toka nchi ya rwanda

solurce" wazalendo ndani ya ewura

Halafu ukifika nyumbani unataka uambiwe pole na kazi, ndo utumbo huu unaoufanya Kazini kweli? hivi bei za EWURA ndo zimeanza kubadilika mwezi huu kweli? hata jambo ambalo siasa haipo unatumbukiza siasa uchwara zenu. Mimi nadhani sisi tusio washabiki wa chama chochote cha siasa humu hapatufai bora tuwaachie waathirika wenyewe mwendelee na ***** wenu. Hivi wewe si bora ungevaa SKETI tu ukashindia saloon na wenzako?
 
Magamba Siwapendi ila ninawachangia kwa Lazima!! Yaani bila aibu wanatuchangisha sh 300 kwa lita kwa ajili ya kufidia uchaguzi wao!! Kwa yeyote anayeitakia mema hii nchi Ni lazima awalaani Hawa Magmaba!! Wamevuna Zaidi ya Bilioni 90!! Zote Hizi watazipeleka wapi? Ndio watazidi Kutununua??
 
Watu Tunafuatilia Soko la Mafuta Duniani Kote na sijaona any Variation Kubwa Hivyo kwa kipindi Kifupi!! Iweje sisi mafuta yapande kwa zaidi ya 30%%%?? na kushuka kwa 30%% kwa kipindi kifupi Hivyo??
 
CCM is a mode of production, its not a political party.
CCM ni janga la dunia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ukweli utabaki kuwa ukweli!

ni wazi kuwa kada wa ccm haruna masebu, ambaye ni mkurugenzi wa ewura yuko kazini kisawa sawa, masebu ambaye akiwa mkufunzi wa chuo cha ardhi wakati ule, alikuwa pia ndiye katibu wa ccm tawi la chuo cha ardhi na swahiba mkuu wa lowasa. lowasa alivyochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri wa ardhi, jambo la kwanza lilikuwa ni kumteua masebu kuwa mkurugenzi mkuu wa national housing, baadaye PSRC na sasa EWURA.

wiki mbili zilizopita ewura ilitangaza ongezeko la bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa, ongezeko hilo lilikuwa ni makubaliano kati ya mtu huyu na makampuni makubwa ya kifisadi ya mafuta na mkumbuke kuwa chaguzi za ccm nazo zilianza wiki mbili zilizopita. makampuni hayo yalikuwa yanatoa kama shs 100/- kwa kila lita ya mafuta hayo kufidia au kugharamia chaguzi za ccm

chaguzi za ccm zinakaribia kumalizika, na kwa kuwa ewura wanaogopa kuumbuka, leo wametangaza kushusha bei za mafuta karibia na ile bei iliyokuwepo kabla ya kupandisha kupata fedha za kufidia chaguzi za ccm.

ewura waje hapa wakane taarifa hii, nitawapa data toka yanakoagizwa mafuta , na hali ya mafuta nchi jirani za soko la pamoja la afrika mashariki.

ni vema pia kwa hujuma hii mkajua masebu ni ani katika nchi hii, ambapo uraia wake ukweli ni toka nchi ya rwanda

solurce" wazalendo ndani ya ewura
Mwikimbi fanya kauchunguzi kidogo utuwekee angalau transfer chache za namna pesa zilivyotoka kwa hayo makampuni kwenda kwa hao "beneficiary" ukionyesha tarehe ya TISS, akaunti iliyotoa pesa na akaunti iliyopokea pesa, ukishindwa hili ni bora uombe tuu msamaha kwa kujaribu kukichafua chama tawala kwa hisia tuu
 
Last edited by a moderator:
Maelezo tu yametutosha, hatuhitaji ushahidi mwingine.

Ndugu yangu Daudi mchambuzi ukiletea tuu umbea mkeo ameonekana guest utakwenda kutoa talaka bila kujiridhisha? Naamini Ewura wana kabrasha walilotumia kukokotoa hiyo bei iliyomalizika na hii mpya hata kupitia tuu hizo kunaweza kutoa picha ya ukweli au uongo wa haya madai
 
Last edited by a moderator:
There was a mistake in preparing August prices. They had to make a compensation for the prices in September.
 
Uwe na uhakika na taarifa unazotoa! Unasema wiki mbili zilizopita ndio bei ya mafuta ilipanda..una uhakika na taarifa yako? Bei zinabadilika kila mwanzo wa mwezi ndio Ewura wanatangaza bei elekezi..sasa unapotengeneza hoja kuwa bei ilipanda kwajili ya chaguzi za ccm wiki mbili zilizopita ni uzushi ambao huwezi hata kuutetea! Huna hoja tafuta hoja nyingine!

Mkuu gamba kyakukanwa, ushahidi wa mazingira ni kupanda kwa petrol na ushahidi wa matamko ni tabia ya magamba kuwa na utamaduni wa kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo wao kuwa ukweli.
 
Mwikimbi fanya kauchunguzi kidogo utuwekee angalau transfer chache za namna pesa zilivyotoka kwa hayo makampuni kwenda kwa hao "beneficiary" ukionyesha tarehe ya TISS, akaunti iliyotoa pesa na akaunti iliyopokea pesa, ukishindwa hili ni bora uombe tuu msamaha kwa kujaribu kukichafua chama tawala kwa hisia tuu

Ndachuwa, makampuni makubwa ya mafuta yanamilikiwa na nyie wenyewe magamba Dalbit, Lake Oil nk.) mtashindwa kuhamisha mipesa yenu kutoka mfuko wa suruali kwenda mfuko wa koti?
 
Bei ya petroli kwenye soko la dunia inashuka. Hapa Marekani wiki hii petroli imeshuka kwa kadri ya senti tatu kwa gallon moja.

Bei ya mafuta inashuka Marekani kwa asilimia 30 kama hapa Tanzania ?? Maana ilipanda kwa asilimia 30 pia !!
Yaani umeandika ili kutetea kupanda na kushuka kwa bei kiholela hapa Tanzania !! (kwa 30% !!!) sio 2% au 3% !!
Bila kujijua, au kwa kujua, unatetea ufisadi wa CCM na serikali yake kwa kuwaumiza watanzania wakiwemo ndugu zako waliopo hapa Tanzania.
Watanzania huwa mnapata nini kwa kutetea uozo na ufisadi ??
 
Magamba Siwapendi ila ninawachangia kwa Lazima!! Yaani bila aibu wanatuchangisha sh 300 kwa lita kwa ajili ya kufidia uchaguzi wao!! Kwa yeyote anayeitakia mema hii nchi Ni lazima awalaani Hawa Magmaba!! Wamevuna Zaidi ya Bilioni 90!! Zote Hizi watazipeleka wapi? Ndio watazidi Kutununua??

Walishalaaniwa wanasubiri Jehanamu yao 2015.
 
Bora uwaambie maana wanadhani hizi bei hapa nchini ewura wanajiamulia tu kupandisha au kushusha!
Bei ya mafuta nchini hutegemea bei kwenye soko la dunia.

Bei ya mafuta hupanda na kushuka kufuata bei za soko la dunia !!
Kwa maana hiyo hapo, bei za mafuta kwenye soko la dunia zilipanda kwa 30% (asilimia thelathini) mwezi August 2012 !!
Hii ndio maana yake !! Au unataka kusemaje ??
Jamani watanzania, tuamke sasa, tusikubali tu kudanganywa kila siku hata kwa mabo ambayo yako wazi!!

Angalia website ya EWURA, hawajaweka bei elekezi za mafuta za mwezi August 2012.
Jiulize kwa nini ??
Mbona bei nyingine zote zipo ?? Yaani bei za mwezi January, February, March, April, May, June, July, na September 2012 !!!

EWURA - Energy & Water Utilities Regulatory Authority of Tanzania
 
ukweli utabaki kuwa ukweli!

ni wazi kuwa kada wa ccm haruna masebu, ambaye ni mkurugenzi wa ewura yuko kazini kisawa sawa, masebu ambaye akiwa mkufunzi wa chuo cha ardhi wakati ule, alikuwa pia ndiye katibu wa ccm tawi la chuo cha ardhi na swahiba mkuu wa lowasa. lowasa alivyochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri wa ardhi, jambo la kwanza lilikuwa ni kumteua masebu kuwa mkurugenzi mkuu wa national housing, baadaye PSRC na sasa EWURA.

wiki mbili zilizopita ewura ilitangaza ongezeko la bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa, ongezeko hilo lilikuwa ni makubaliano kati ya mtu huyu na makampuni makubwa ya kifisadi ya mafuta na mkumbuke kuwa chaguzi za ccm nazo zilianza wiki mbili zilizopita. makampuni hayo yalikuwa yanatoa kama shs 100/- kwa kila lita ya mafuta hayo kufidia au kugharamia chaguzi za ccm

chaguzi za ccm zinakaribia kumalizika, na kwa kuwa ewura wanaogopa kuumbuka, leo wametangaza kushusha bei za mafuta karibia na ile bei iliyokuwepo kabla ya kupandisha kupata fedha za kufidia chaguzi za ccm.

ewura waje hapa wakane taarifa hii, nitawapa data toka yanakoagizwa mafuta , na hali ya mafuta nchi jirani za soko la pamoja la afrika mashariki.

ni vema pia kwa hujuma hii mkajua masebu ni ani katika nchi hii, ambapo uraia wake ukweli ni toka nchi ya rwanda

solurce" wazalendo ndani ya ewura

Kwenye utaalaam acheni politics weka hizo data zako hapa nasi tukwambia ukweli

Mafuta yalipanda ili kufidia loss walizopata makapuni ya mafuta miezi miwili mitatu iliyopita baada ya mafuta kuja kwa wingi.

Take my word, mafuta yatendelea kushuka bei kwa sababu hizi

Kuanzia mwezi huu/ujao wameongeza/wataongeza uwezo wa upakuwaji wa mafuta bandarini ambayo itapunguza sana demorage cost

Hiyo ni sababu moja tu, lete data zako niendele kukujibu!!!
 
Back
Top Bottom