Elections 2010 Ufisadi Ndani Ya Ikulu na Clouds FM

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kwa wote mnaofahamu ufisadi mkubwa unaofanywa na January Makamba na Ruge Mutahaba, cha kwanza mtakachokifikiria ni Issue ya No More Malaria. Kusema kweli hili swala sijui ni kwa nini vyombo vya dola havikuingilia kati na kumbana January Makamba kwa kutumia nafasi yake ndani ya Ikulu na kutoa Zabuni kwa rafiki zake wa Clouds FM.

Hili swala lilikuwa zito mno, na karibu kuliingiza Ikulu katika utata Mkubwa. Ina maana kwamba, Sugu a.k.a Mr. II alikuja na No More Malaria Toka Marekani, kufika Tanzania, January Makamba kadandia na kuingiza Clouds FM, matokeo yake wakafanya sherehe kubwa sana na kumwalika Rais. Cha ajabu VIP waliingia bure na kupewa vyandarua, watu wachini walilazimika kulipa kiingilio cha Tsh. 3,000 na pia kulazimika kununua vyandarua. January Makamba kwenye kampeni yake kachangiwa hela nyingi sana kutumia mgongo wa Ikulu karibia millioni 600. Najiuliza kwa minajili gani?

January amejiingiza katiba dili nyingi mno na wahindi, msishangae EPA nyingine ipasuke miezi kadhaa ijayo. Huyu kijana amezidisha kiherere kama dadake Mwamvita wa VODACOM. Sijui hii damu ya makamba, sijui, nyie mtaamua kwamba tatizo ni nini na hii famia ya makamba iliyokaa kinyang'au nyang'au!
rostam.JPG
makamba.jpg
MAKAMBA.jpg
 
safari hii tunadeal nao kivingine.
january ajiandae kuupoteza ubunge wake
 
Ruge Mutahaba uko na huyo fisadi utajikoseshea heshima kwa watu,usidhani ni ujiko kuwa na uyo mtu.
 
Hata maxcence mello founder wa hii JF nasikia ana ushikaji wa karibu na Ruge Mutahaba, kama si kweli naomba akanushe.
 
Ruge Mutahaba uko na huyo fisadi utajikoseshea heshima kwa watu,usidhani ni ujiko kuwa na uyo mtu.

Wewe unataka kumtoa Ruge kwenye hiyo list?...halafu uingie wewe? Ruge anaishi kimishen tauni kama The Makambas, ni kafisadi kadodo!
Au ulikuwa haujaelewa somo?!:A S angry:
 
naiona kwa mbali siku watu wanapoamua kuwa wakenya... ukireta mchoeso, nawasha gun kwisha~~!!!
 
Duh! Ushkaji gani mkuu, fafanua!

Achana nae....Hata tofauti na Sheikh yahaya...kauli tata hapo...anaweza kusema ni marafiki hata wa kabila moja au kijiji kimoja...ambao hakuna tatizo...
 
Kila jambo lina mwisho wasifikili tutashindwa kuwawajibisha muda ukifika wa kuwa wajibisha tutawawajibisha tu wasifikiri kuwa Tanzania kuna uongozi wa kifalme hao watu wanao wapa kifua hawataongoza for life.
 
Kwa wote mnaofahamu ufisadi mkubwa unaofanywa na January Makamba na Ruge Mutahaba, cha kwanza mtakachokifikiria ni Issue ya No More Malaria. Kusema kweli hili swala sijui ni kwa nini vyombo vya dola havikuingilia kati na kumbana January Makamba kwa kutumia nafasi yake ndani ya Ikulu na kutoa Zabuni kwa rafiki zake wa Clouds FM.

Hili swala lilikuwa zito mno, na karibu kuliingiza Ikulu katika utata Mkubwa. Ina maana kwamba, Sugu a.k.a Mr. II alikuja na No More Malaria Toka Marekani, kufika Tanzania, January Makamba kadandia na kuingiza Clouds FM, matokeo yake wakafanya sherehe kubwa sana na kumwalika Rais. Cha ajabu VIP waliingia bure na kupewa vyandarua, watu wachini walilazimika kulipa kiingilio cha Tsh. 3,000 na pia kulazimika kununua vyandarua. January Makamba kwenye kampeni yake kachangiwa hela nyingi sana kutumia mgongo wa Ikulu karibia millioni 600. Najiuliza kwa minajili gani?

January amejiingiza katiba dili nyingi mno na wahindi, msishangae EPA nyingine ipasuke miezi kadhaa ijayo. Huyu kijana amezidisha kiherere kama dadake Mwamvita wa VODACOM. Sijui hii damu ya makamba, sijui, nyie mtaamua kwamba tatizo ni nini na hii famia ya makamba iliyokaa kinyang'au nyang'au!
rostam.JPG
makamba.jpg
MAKAMBA.jpg
I hate them!
 
Kwa wote mnaofahamu ufisadi mkubwa unaofanywa na January Makamba ..............................
January amejiingiza katiba dili nyingi mno na wahindi, ..................................
rostam.JPG
makamba.jpg
MAKAMBA.jpg

Kwa nini mafisadi hawa hawashirikiani na waafrika wenzao? Ni sifa kushirikiana na wahindi! Au ni kuthibitisha kwamba Wahindi ndo viongozi wa ufisadi hapa nchini?

Kuna ishara nyingi kwamba ktk Afrika, Wahindi hawavumilii kuishi kwenye nchi inayozuia ufisadi.
 
Back
Top Bottom