Ufisadi na wizi wa ccm hadi kwenye kombe la mbuzi, aibu!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,972
1,649
Leo jioni kulikuwa na shindano la mpira wa miguu kati ya cdm na maga.mba makuburi dsm.
Baada ya ccm kufungwa goli 3-0, na kupewa kadi nyekundu mbili waliamua
kuleta fujo na kumuiba mbuzi ambaye mshindi ilkuwa aondoke naye kwenda kumlundumla.

Hata hivyo viongozi na wapenzi wa ccm, wakaamua kugoma kuendelea na
mpira na kuamua kumuiba mbuzi. Polisi wameitwa kwenda kuweka mambo
sawa bila mafanikio na mbuzi ndo kisha fisidiwa na chama cha mapinduzi.
Hadi muda huu bado hali si shwari cdm wanamtaka mbuzi wao, lakini ccm wamemtorosha.
Defender bado zinazungukia mitaa ya makuburi kumsaka huyo mbuzi.

Hiki chama kina uvundo mwingi, na mengi tutayashuhudia kutoka *******.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom