Ufisadi Na Utandawazi….


Gigo

Gigo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2006
Messages
455
Likes
39
Points
45
Gigo

Gigo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2006
455 39 45
Mafisadi wametoa mchango Mkubwa katika kutoa Elimu na Ufahamu kwa vitendo!!! Elimu hii iame enea kwa watu wengi kwa pamoja kwa kasi hari katika zama hizi za UTANDAWIZI….Ufahamu wa Dunia ya sasa, yenye ndoto mpya na jehanamu Yenye Utapeli wa kisasa , Mafisadi wamezusha-Maswali Endelevu!!
Hii ime kua ni changamoto kwa wananchi na viongozi -ambao bado wana Ongoza hadi hivi sasa..!!

Ina tokana na ukweli kwamba hivi sasa viongozi Mafisadi bado wana nguvu ya kisiasa kwenye majimbo yao ya uchaguzi na Nchi kwa Ujumla ,,, hii ina tokana na majina yao kutumika mara nyingi kwenye vichwa a vinywa vya wananchi katika kuelezea hulka na hisia zao…kuhusiana na hii Dunia…!!

Bado ni viongozi!!! Tuna waheshimu!na ni kosa kuwazomea…kuwatukana..!!sheria itachukua mkondo wake haraka sana ….kuliko poleple iliopo katika kutunga sheria zinazo wabana viongozi.Mafisadi….

Ni wananchi wachache sana katika maeneo ya Bariadi wanao kifahamu kisiwa Cha Jersey!! …….Na labda hakuna kabisa …!!

Labda kama jina - NewJersey lilionekana kwenye Tshirts za Mitumba kwenye maeneo fulani Fulani huko vijijini !!

LAKINI Kisiwa cha Jersey kili kuja kufahamika zaidi pale ilipo gundulika…kiasi cha fedha za muheshimiwa Chenge zime hifadhiwa katika kisiwa hicho….. Cha Jersey!!...

Kwa sababu za kiulinzi na kiusalama zaidi.!!.na bado ni vigumu kugundua Ukweli huo kutokana na ukweli ulio fichwa na Mafisadi..mashujaa walio tufikisha hapa tulipo…na kutupa taarifa kwamba Balali amefariki Dunia …!! Ni nina paswa kuamini amekuafa!! Full stop!!

Bila Chenge Ungeifahamu vipi Jersey?-
Kisiwa kilichopo kilomita chache tu kutoka kwenye pwani za Ufaransa.. kisiwa rafiki yangu!! Huwezi jua!!.....science!!<……. hapa ni nini? Labda!!


Yupo binamu yagu aliniambia ina wezekana Chenge akajitetea!!na akaeleweka kwa wengi .. Chenge anaweza akasema -alizihifadhi fedha zake nje ya nchi kwa sababu za kiusalama!...

Dhu!- Nilijibu…. Lakini hiyo haito kua kweli kwasabu ana paswa aziweke Tanzania kwenye mabenki ya Africa ili wananchi wakopeshwe!!..


Hii ina ni kumbusha zamani…- japo ni zamani sana !!-mimi siku wepo…enzi hizo! enzi za Utumwa!!
Muarabu alimsingiziwa..Mzungu amlisingizia……….Watu walisingiziana…kumbe viongozi wetu ndio walio tuuza utumwani…Kama waafrica wengi walikua ni watumwa!! basi viongozi wao ndio walio wauza kwa wingi kwa hao walio watapeli Viongozi wetu!!na kuanza kuuza watu!!...

Au viongozi wetu ndio walio washawishi watu wawa uzie watu wao..!!
Tuendelee kusamehe ila tujue ni nini walichokua wanakifanya..

Bila watumwa hakuna mashujaa kama African Americans….hakuna mkutano wa Arusha Sulivan……, bila wao!!bila hyo historia….nisiyao ipenda!!

Na bila kuuza watumwa Wasinge kuwepo hao masujaa weusi..
Tuwe makini na Utandawazi…
Kama tukiwapoteza viongozi wetu na marafiki zetu tutapotea,
Tuwe makini na Utandawizi ili tusije tuka-kosana na marafikizetu au kugombanisha marafikizetu..kwa sababu wote kwa ujumla wao ni rafiki zetu…

Mwisho kabisa napenda kuwapongeza Mafisadi wote kwa Mioyo yenu ya uchoyo ,ujasiri wa kutemeka,visa,ujanja,upumbavu, na kila ghasia…kwa kusababisha kila mwananchi anaheshimu na kuchukua mamlaka yenu…

Tunacho waomba msitusumbue..Mrudishe fedha kwa wanao hitaji…
Na mtufundishe kutokana na uzoefu wenu…!!wa kifisadi kwa kuandika vitabu!!
Kasababu sio lazima kia Mtu awefisadi!! Nyie ndio muwe Mwisho!! I real hate that sometime I find no way out!!

Kwa sababu Ukweli always real!!
Mliomba rushwa? Au mlipewa rushwa…kwasababu hata baadhi ya viongozi wa kale wa kiafrica wali pokea Rushwa hatimae waliuza watu wao kuwa watumwa..
Lakini walikua na roho mbaya……,au hata sijui!!!…kama nilivyo shindwa kujua Labda hata hela mlizo iba zimechanganyikana na za kwenu za halali…

Thank you..
Balali…..
 
M

Mama

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
2,858
Likes
23
Points
0
M

Mama

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
2,858 23 0
teh teh teh tehhhhhhhhhhhhhheeeeeeeeeee
 
Maverick

Maverick

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2008
Messages
308
Likes
2
Points
0
Maverick

Maverick

JF-Expert Member
Joined May 29, 2008
308 2 0
Mhh! Hivi uchunguzi wa "vijisenti" zvya Chenge uliishia wapi?
 
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
254
Likes
103
Points
60
Age
29
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
254 103 60
Kume kucha
 
Dahafrazeril

Dahafrazeril

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
1,518
Likes
1,984
Points
280
Dahafrazeril

Dahafrazeril

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
1,518 1,984 280
Kwahiyo huu ujumbe umetoka kwa BALALI au Gigo wa JF?

Mbona hizi ni $tress???.
 

Forum statistics

Threads 1,235,270
Members 474,471
Posts 29,216,344