Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,087
- 6,568
Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.
Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa consolidated fund.
Leo hii pesa nyingi inakusanywa na tozo kibao lakini hakuna kinachoonekana juu ya mapato haya.
Huu ndio wakati wa Chadema kurudi kwenye game.