Ufisadi mwingine wa Watanganyika dhidi ya Zanzibar huu hapa!!

Hamtutawali kwa akili ni wingi wa wanajeshi na watu wasiojulikana . Kambi za jeshi kila mtaa
Ndio kazi ya jeshi hiyo kudhibiti na kuwashughulikia wote wanaoleta mambo ya ovyo ovyo kama yenu nyie wapiga domo wa Zanzibar
 
Ndio kazi ya jeshi hiyo kudhibiti na kuwashughulikia wote wanaoleta mambo ya ovyo ovyo kama yenu nyie wapiga domo wa Zanzibar
Ndiyo mizimu yako inavyoendelea kukudanganya? Nilikuambia kuwa wewe tumeshakujeruhi akilini mwako ,sasa unaandika vitu vya ajabu. Chunga hiyo akili iliyobakia isije ikafa
 
Misumari inakuchoma vizuri??
Kwani sio nyinyi mnaokula tende na Halwa Halwa kwa kuuza utaifa wenu?? Huku kuna mpaka wajumbe wa nyumba.10 bungeni mmejazana mnakula bata na mivx juu Leo umeuza mwanao kwa utamu wa chumvi hujiulizi ukifa atakae kuzika nani
 
Kwani wanawekwa na nani si na kanisa ? Umesahau magugu?? :p :p :p
 
Ndiyo mizimu yako inavyoendelea kukudanganya? Nilikuambia kuwa wewe tumeshakujeruhi akilini mwako ,sasa unaandika vitu vya ajabu. Chunga hiyo akili iliyobakia isije ikafa
Endelea kutafuta uhuru mitandaoni utaupata tu usijali ahahaaahahahha
 
Bado sijapata ushindi Ni mapema mno imani yang HAKI Siku zote ni yenye kusimama
 
Daima Watanganyika (ndugu zetu wa damu) wanatufanyia visa furaha yao ZANZIBAR ikwame Wazanzibar wadhalilike ishahidi wa hayo kuna list kubwa ya ubaya wao huo

Watanganyika washatufanyia mengi na hivi juzi kwa vile wanajua. Pamoja na kujitangaza sana bado ZANZIBAR inafanya vyema sana katika sekta ya UTALII kuna watalii wanaoushuka moja kwa moja ZANZIBAR hilo linawauma sanaaaa

Na hivi sasa washapata sababu ya kutaka kuihujumu ZANZIBAR kupitia sekta hiyo kwa kupaza sauti zao kumtaka waziri wao anaehusika na utalii KIKWANGARA sijui kinani eti aingile kati suala la yule mwanamitindo au mwanamichezo au msanii Kutoka South Afrika aliefanyiwa vitendo vya ubaguzi ktk hoteli huko ZANZIBAR

Twaambia hivi ISSUE Za ZANZIBAR zitamalizwa na Wazanzibar wenyewe hivyo vigwangwara washuhulikie issue za Faru John. HOTELS zote Zanzibar zina mikataba na kinachofanyika kinajulikana na ZANZIBAR ina Waziri wake wa utalii

#BRING OUR NATION BACK
#Free ZANZIBAR
unakosea unapo laumu watanganyika wote kwa ujumla, wewe sema ccm. maana watanganyika wengi wetu ni wahanga wa utawala wa ccm kama nyinyi wazanzibar. ukianza kulaumu wahanga wezoko huku ukisahau kumtaja muuwaji mwenyewe basi unampa nguvu muuwaji aendelee kuuwa kwana anajuwa bado hajajulikana kwasababu wanaoathirika wanalaumiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom