,
Pata ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA hapo chini. Abbreviations za BWM na EL, hope wote mnazielewa.
Hiyo ndiyo "Nchi ya Changa la Macho".
Hili la TISCAN linafahamaika vizuri sana na BWM aliamua kwa ujeuri wa hongo baada ya kupewa recommendations na rafiki yake Jerry Rawlings wa Ghana, na kuamua against the recommendations of his own intelligence officers. BWM alipelekewa hiyo ripoti kuhusu mbinu na tabia za COTECNA ambao wanajiita TSCAN na ripoti ilieleza kwa undani mbinu chafu za Cotecna failures zao kule Ghana, http://www.thestatesmanonline.com/pa...=1&newsid=4509 na Senegal, pamoja na hongo za kumhonga Kofi Anan kwa kupitia kijana wake - Iraq's Food-Oil program.
TISCAN ni jina bandia linatumika na COTECNA kuficha madhambi yake, na representative wao Tanzania (former katibu mkuu) ndiye aliwaambia wabadilishe jina na hii baada ya ku-tender kama COTECNA. Kwa hivyo technically TISCAN NEVER tendered for Container Scanning Services na TRA, Central Tender board wanajua hili .
Baada ya BWM kupewa ripoti na makachero wake yeye badala ya kuamua akawatupia mpira TRA na kuwaambia wao TRA waamue la kufanya. TRA pia waka amuriwa kupitia wizara ya fedha Yona akiwa waziri,waende wakaone shughuli za container scanning zinavyofanywa Ghana, kumbe ni mpango wa COTECNA through BWM.
The Commissioner General of TRA wakati huo marehemu Sanare, baada ya kuelezwa madhambi ya COTECNA akaweka ngumu na kusema hawa Cotecna hawapati hiyo contract. Masikini kumbe Sanare kajichongea, kwa vile wahenga wasema "penye fedheha penyeza rupia". Kumbe zengwe likawa linapikwa Sanare aondolewe TRA, kwa vile yeye ndiye analeta kauzibe, wakati list yote ya wazito pale Mapato House na Matumizi House wameshalainishwa!Basi Sanare ikabidi ahamishiwe PM's office. Sasa kabla ya Sanare kuondoka akambiwa pesa hizi hapa mzee, weka mkono mambo yaende mbele.Wewe unaondoka, mkataba utasainiwa na pesa utazikosa. Sasa amua kusuka au kunyoa! The last contract Sanare signed before he left the office was Cotecnas contract pamoja na hilo jamaa wakamtolea nje. Kwa kumkomoa zaidi, wale aliokuwa amewafanyia kauzibe TRA, wakaamua kumnyan'ganya hata gari lake na kutaka kumfukuza kwenye nyumba hadi EL akaingilia na kuamua kumuuzia nyumba wakati yuko mahututi! Sanare amekufa na frustrations za kunyanyaswa na wenzake TRA kwa vile alikataa kucheza dili zao !
Issue ya TScan siyo siri wala lolote, data zote zipo na zinajulikana, zengwe lililochezwa hata usalama wa taifa wanalijua na walimweleza BWM kama rais atoe uamuzi lakinia he acted otherwise. Yaania hata VIN number ya hilo gari lao la Scanning inajulikana. Liko re-fubrished kwa vile baada ya kupinduka Ghana lilipelekwa Ujerumani kukarabatiwa. Bei ya hilo gari imezidishwa zaidi ya mara tatu ya jipya wakati ni used. Halafu la kusikitisha ni kuwa undeshaji wa scanner hiyo TRA officials hawausiki. Risk management and assessment na profiling of importers TRA kwao ni ndoto wanawategemea TISCAN!
Lingine linaloudhi ni hili, TIScan are supposed to do Destination Inspection na hii ndiyo ilikuwa kigezo cha kuanzisha hiyo scanning. This was supposed to replace Pre-Shipment Inspection. Hadi leo hii vyote vinafanywa na kampuni hiyo hiyo, TISCAN + COTECNA. Wewe leo unatumia pesa zako ulizozihenyea huku nje, na ukatuma mzigo wa vitabu ambao haulipiwi kodi lakini bado utalipishwa 1.2% ambayo TScan wanapewa 0.8% kwa nini.
Did you know that TISCan collects 0.8% of the value of all imports to Tanzania and it is the LAW !!! na 0.4% wanachukua BOT! Na TISCAn wana mkataba wa miaka 10+!!
Amakweli nchi imeuzwa! Tunayasikitikia ya BOT, TRA ni balaa!