Ufisadi mwingine wa BILIONI 60 shirika la reli Tanzania

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
NDUGU Mwakyembe amehamaki kasimamisha watu kazi na wengine kafukuza. Cha ajabu bado yuko kimya kuhusu UFISADI wa BILIONI 450 awa lile tapeli BLACK AMERICAN aliyepiga naye picha hapo chini hapo hapo TRL

DSC_4780.JPG

Mwakyembe akiwa anaongea tapeli black American toka detroit (Shumake) . Huyu jamaa kwa maajabu Ndugu Mwakyembe alimwita Baba kwenye press conference. Huyu tapeli naye ana dili lingine la kitapeli huko huko ofisini kwa Ndugu Mwakyembe la BILIONI 450

TANZANIA Railway's (TRL) deputy managing director and chief finance officer have been suspended by the country's transport minister Mr Harrison Mwakyembe as investigations into the controversial acquisition of 25 wagons from Indian firm Hindustan Engineering and Industries gets underway.

Mwakyembe has also disbanded the railway operator's tender board after initial investigations indicated that the wagons, valued at around $US 5m, are of inferior quality and not suitable for carrying containers from the Dar es Salaam port into Tanzania and neighbouring countries as initially anticipated.

"I want a thorough investigation on how the process was carried out, but all these officials who went to India should be suspended to pave the way for investigations until they are cleared of wrongdoing,'' Mwakyembe says.

The acquisition of the 25 wagons is part of TRL's plan to spend $US 680m to purchase 1960 freight wagons, 44 passenger coaches, 58 locomotives and to upgrade rail infrastructure and services under the country's Big Results Now (BRN) initiative.

TRL is expecting to receive an additional 204 wagons by the end of 2015 with 13 new locomotives expected in January according to transport permanent secretary Mr Shaaban Mwinjaka.

Source:
Tanzania Railway chiefs suspended | International Railway Journal
 
Huu nao Msalaa Mkubwa tu, yani UPIGAJI HUU,kuna Watanzania wana ROHO NGUMU WAMEZITOA WAPI mbona Ancestors wetu ni almost wako 128 [Makabila ya Tanzania] tu huu umangungu wameutoa wapi jamani?Ngoja Facts zije Tutajua Mbichi na Mbivu humu humu kitaeleweka.

TANZANIA Railway's (TRL) deputy managing director and chief finance officer have been suspended by the country's transport minister Mr Harrison Mwakyembe as investigations into the controversial acquisition of 25 wagons from Indian firm Hindustan Engineering and Industries gets underway.

Mwakyembe has also disbanded the railway operator's tender board after initial investigations indicated that the wagons, valued at around $US 5m, are of inferior quality and not suitable for carrying containers from the Dar es Salaam port into Tanzania and neighbouring countries as initially anticipated.

"I want a thorough investigation on how the process was carried out, but all these officials who went to India should be suspended to pave the way for investigations until they are cleared of wrongdoing,'' Mwakyembe says.

The acquisition of the 25 wagons is part of TRL's plan to spend $US 680m to purchase 1960 freight wagons, 44 passenger coaches, 58 locomotives and to upgrade rail infrastructure and services under the country's Big Results Now (BRN) initiative.

TRL is expecting to receive an additional 204 wagons by the end of 2015 with 13 new locomotives expected in January according to transport permanent secretary Mr Shaaban Mwinjaka.

Chanzo:railjournal
 
Why India?...mwakyembe hajui kuna nchi nyingi tu zenye technology ya rail?
 
Wizi wanafanya raia kama wewe,sio kila lawama ni ccm, na sisi pia tubadilike,tupunguze wizi kidogo.Au chama kipya kitaleta wananchi wapya?

Ni raia wanaoiba wala si wageni, tatizo linakuja pale ambapo wasimamia sera ambao ni CCM wanapowalinda na kuwakingia kifua hao wezi!
 
Pale Taifa linapojaa viongozi wapga dili basi hali huwa hivyo! na madili tu kuanzia HP, DADA MKUU, KIRANJA WA NIDHAMU, TAALUMA HADI MONITAR.
 
Wizi wanafanya raia kama wewe,sio kila lawama ni ccm, na sisi pia tubadilike,tupunguze wizi kidogo.Au chama kipya kitaleta wananchi wapya?
tunachotaka mtu akishikwa au kubainika wameibia nchi kama walivyofanya kina chenge hatua za kisheria zichukuliwe mara moja bila kujali cheo cha mtu. Ccm inayounda serikali imeweka mfumo wa kulindana toka kwenye chama mpaka serikalini.
 
Aise! kwa nini asingeenda hata Italy, Marekani au Uingereza kununua? hii nchi mwakani lazima tupigane kwanza ndo akili zirudi kwa wote hivi hivi hamna kitu.

Huo ni mkopo, sasa tunatakiwa tuulipe sote.

Kwa nn mwakembe asivunje mkataba huo mara moja kwa sababu one party imekiuka mkataba?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom