Ufisadi mwingine TRA ya Kitilya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mwingine TRA ya Kitilya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chademaistheway, Aug 18, 2010.

 1. c

  chademaistheway Senior Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Nilidhani kuwa Kitilya ndio mmoja ya ma CEO safi pekee waliobaki kumbe....au anamfanyia kazi Karamagi ?
  http://www.thecitizen.co.tz/news/4-national-news/3573-queries-as-public-firms-defy-procurement-body.html
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hiyo mbona kidogo tu kati ya yale makubwa tunayoyaona kila wakati
  yaani ni wimbo wenye korasi ileile,
  Mambo ndo hayo hayo, na tutarajie zaidi. Ila tunakoelekea kubaya!!!!
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :glasses-nerdy:
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini Watz tunashindwa kuuondoa utawala huu unaowapa mafisadi jeuri ya kufanya hujuma kubwa nchini humu? Hebu tujitutumue basi safari hii!
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi sijui kuhusu hili lakini huyu kamishna ni mzuri na mkali. Tanzania inataka viongozi kama hawa nilikutana naye MN kwenye mkutano wa diaspora USA.
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  where is the outrage?
   
 7. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama Kitilya ni fisadi...unless anasingiziwa
   
 8. C

  Capt Maliki PanAfric Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni mkristo na mchagga sasa hata kama anaharibu wao watakuwa wanamtetea tuu
   
 9. A

  AbasMzeEgyptian JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 406
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  alaaaaa

  kumbeeeee
   
 10. C

  Capt Maliki PanAfric Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  where is the outrage?
   
 11. M

  MAMC Senior Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sishangai hata Kitilya kuwa fisadi! mtu ambaye yuko katika nafasi ya maamuzi, hata kama haibi ila anafumbia macho wizi na uzembe ambao alikuwa na wajibu wa kuuzuia naye ni fisadi tuu!

  Hii ndio imejaa kwa ma viongozi kibao wa nchi hii, mlisikia Lowasa eti alitaka vunja mkataba wa Richmond, mara mkulu akamwambia subiri na yeye akakaa kimya huku akijua nchi ina bleed! Wengine eti wanajua Jairo anawaomba hela kinyume na sheria na wanakaa Kimya na Kumpatia, etc,

  The back has to reach and stop somewhere and its at these "top dogs", so if they don't do their job they are as good as other skunks!
  Tuta sympathise na wale watakao kuwa na maamuzi magumu kama ya waziri wa mambo ya nje wa UK - Clare Short, - alivyoona hakubaliani na Bw. Blair kuhusu vita ya Iraq bila mandate ya UN akapiga chini uwaziri.
   
 12. c

  calmdowndear JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2013
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
 13. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kitilya anasemaje kuhusu hili?
   
 14. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2013
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini huyu KITILYA napewa pass hivi hivi?
   
 15. J

  John W. Mlacha Verified User

  #15
  Apr 4, 2016
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kaka njoo tena uongee haya maneno yako.
   
 16. J

  John W. Mlacha Verified User

  #16
  Apr 4, 2016
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
 17. c

  calmdowndear JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2016
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Napita tuuu
   
Loading...