Ufisadi mwingine mkubwa kituo cha uwekezaji tic.billion 22 kutumika kwa ajiliya safari za wakurugenz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mwingine mkubwa kituo cha uwekezaji tic.billion 22 kutumika kwa ajiliya safari za wakurugenz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 26, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,520
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Asikwambie mtu bana tukiazimisha miaka 50 kwa
  anaekimbia tanzania analo jambo;kamati ya hesabu za mashirika ya umma imeiagiza kituo cha uwekezaji
  tanzania tic kutogusa hata sh moja sh billion 22 zilizotengwa kwa ajili ya usafiri pekee kwa wakurugenzi wa utawala

  tumegeundua matumizi yao ni machafu na ya uhuni lazima tuyafwatilie,,ni makubwa sna sana usafiri peke yake million 168.5 ,posho million 472 na bonus kwa wakurugenzi million 129.7 jamani hawa wakurugenzi wako tanzania kweli ama hizi fgr tumeletewa vibaaya aliuliza kaimu mwenyekiiti wa poac

  hata hivyo habari zinasema poac wanatarajia kuhamishia vikao vyao kuijadili tic baada ya haya mauza uza ya utapeliwa mikataba ya lapf.....

  Hii ni miaka 50 ya ..................
   
Loading...