UFISADI: Mtu tajiri zaidi Iran ahukumiwa kifo

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Mfanyabiashara tajiri wa Iran, Babak Zanjani, amepatikana na hatia ya ufisadi, na kuhukumiwa kifo.
Bwana Zanjani alikamatwa mwaka wa 2013, baada ya kutuhumiwa kuwa alichukua dola bilioni moja nukta 9 za pato la taifa, kutokana na mafuta.
Alikanusha tuhuma hizo.

Babak Zanjani, amepatikana na hatia ya ufisadi, na kuhukumiwa kifo.
Bwana Zanjani alisusiwa na Marekani na Umoja wa Ulaya, kwa kuisaidia serikali ya Iran na makampuni kadha, kuhepa vikwazo vya kiuchumi vya wakati huo, dhidi ya mafuta kutoka Iran.
Alikiri kuwa alitumia makampuni kadha katika Umoja wa falme za Imarati, Uturuki na Malaysia, kuuza mamilioni ya mapipa ya mafuta ya Iran, kwa niaba ya serikali.

Chanzo:BBC
 
ImageUploadedByJamiiForums1457287149.518858.jpg

Bilionea wa Kiiran Babak Zanjan amehukumiwa kifo na mahakama ya nchi hiyo kwa kufisadi mabilioni ya shilingi katika moja ya makampuni ya mafuta nchi hiyo.

Babak zanjan alikamatwa December mwaka jana na alihukumiwa jana.

Chanzo: CNN

My take:

Hapa kwetu sijui tungenyonga wangapi....

Tusitumbue tu tuige na haya wanayofanya wenzetu kwa vitendo ili kutokomeza ufisadi hapa nchini
 
Kwa nchi zetu za Kiafrika sheria kama hizo bado hatujazifikia.
 
Nasi hapa kwetu Tz pindi itakapoanzishwa mahakama ya mafisadi, hukumu ya juu iwe ni kunyogwa hadi kufa.
 
Back
Top Bottom