Ufisadi mpya wa Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo

kagendelahasi

New Member
Oct 30, 2018
1
45
MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI
Huyu mama amelipa Tsh 14milioni kama malipo ya pango ya kuishi mkurugenzi yaani nyumba ya kupanga kwa sababu Manispaa ya Ubungo haimiliki nyumba . Kilichofanyika huyu mama akatengeneza mazingira ya kutafuta hiyo nyumba yeye mwenyewe na mwenye nyumba kulipwa. Ufisadi upo kwasababu hiyo nyumba iliyolipwa Kunduchi bado inakaliwa na mwenye nyumba na huyu mama yeye anaishi kwenye nyumba yake Maramba Mawili Mbezi. Kifupi mama ametakatisha fedha.
KUGAWANA MAPATO KWA % NA KIWANDA CHA URAFIKI (SOKO LA MABIBO
Ufisadi wa pili ni kuwa Manispaa ya Ubungo wamepanga eneo la soko la Mabibo kiwanda cha urafiki. Baadaa ya majadiliano ya muda mrefu (kabla yeye hajaamia Ubungo) makubaliano ilikuwa manispaa iwe inalipa pango la upangaji (rent) kwa kiwanda cha urafiki. Lakini huyu mama anachofanya ni kuwa yale mapato ya serikali yanayotokana na tozo mbalimbali katika soko la Mabibo anagawana kwa asilimia na kiwanda cha urafiki. Baraza la madiwani hatuna taarifa juu ya huo utaratibu, wala hatukushirikishwa kuamua % ya mgawanyo wa mapato. Wapi uliwahi kusikia serikali inagawana mapato na taasisi nyingine. Huo ni ufisadi mkubwa maana hakuna anayejua hizo asilimia zilifikiwaje.
MAHUSIANO MABAYA NA WATENDAJI WAKE
Kwa muda mfupi aliofika hapa tayari ameshagombana na DT kijana mweledi na anayeijua vizuri kazi yake hadi ameamua kukimbilia Manispaa ya Temeke. Issue ni kuwa mama anataka kupanga timu yake ya kufanya ufisadi sasa alishaona kwa huyu kijana na wengine atakwama. Kagombana na kila mtu hapo ofisini kuanzia wafanyakazi wa kawaida hadi wakuu wa Idara, lugha yake ni matusi tena ya nguoni na kujisifia kufahamiana na Waziri mmoja Mwandamizi.

Serikali hebu fuatilieni mwenendo wa huyu mama. Safari ijayo tutaeleza hujuma zake katika ngazi ya kisiasa, na jinsi asivyoheshimu vikao vyetu madiwani kwa kufanya maamuzi yeye binfasi bila kushirikisha Council.

TAKUKURU, vipi lile suala la Mkataba hewa wa ofisi, mmeamua kulifukia?
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,490
2,000

Moja,Huyu mama simfahamu wala terms of reference za ajira yake pia sizifahamu ila inawezekana kuwa analipwa fixed house allowance na yeye ndiye mwenye kuamua akaishi wapi.
Pili, kile kiwanja ni mali ya Urafiki lakini inawezekana kuwa urafiki pamoja na halmashauri wamekubaliana kuwa halmashauri waboreshe miundombinu ya soko halafu wagawane mapato PPP.
Tatu, Mahusiano ni subject to interpretation. Kama umeingia kwenye taasisi ambayo wafanyakazi wengi ni wapiga dili, hata ufanye vipi maelewano hayawezi kuwepo sijui naye ajiingize kwenye mkumbo huo.
Tuache majungu na kama kuna tatizo lolote lile, kanuni na taratibu zipo na wadau wote tunapaswa kuzifuata.
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa hakuna sehemu hatari za majungu kama halmashauri za Dar na Mbeya. Sehemu hizo kutoka salama inabidi ujiingize kwenye mitandao yao vinginevyo majungu yatakuondoa na kukuharibia.
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,768
2,000
Well basi reff Masasi na Mtwara aliwanyoosha kweli na sikia sasa ukisema fisadi ndio kama bado sikuelewi
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
4,573
2,000
Sasa we mh. Diwani na wewe kama unakuja huku kulalama itakuwaje kwa sis wananchi wa kawaida, si ulete azimio la kumtoa au msusie vikao vyake, kumwondoa mkurugezi mbona ni rahisi tuu.
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,230
2,000
Hizi ni tuhuma nzito sana dhidi ya mtumishi wa umma. Wenye mamlaka na uteuzi wake wanatakiwa kuchukua hatua ASAP
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,880
2,000
MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI
Huyu mama amelipa Tsh 14milioni kama malipo ya pango ya kuishi mkurugenzi yaani nyumba ya kupanga kwa sababu Manispaa ya Ubungo haimiliki nyumba . Kilichofanyika huyu mama akatengeneza mazingira ya kutafuta hiyo nyumba yeye mwenyewe na mwenye nyumba kulipwa. Ufisadi upo kwasababu hiyo nyumba iliyolipwa Kunduchi bado inakaliwa na mwenye nyumba na huyu mama yeye anaishi kwenye nyumba yake Maramba Mawili Mbezi. Kifupi mama ametakatisha fedha.
KUGAWANA MAPATO KWA % NA KIWANDA CHA URAFIKI (SOKO LA MABIBO
Ufisadi wa pili ni kuwa Manispaa ya Ubungo wamepanga eneo la soko la Mabibo kiwanda cha urafiki. Baadaa ya majadiliano ya muda mrefu (kabla yeye hajaamia Ubungo) makubaliano ilikuwa manispaa iwe inalipa pango la upangaji (rent) kwa kiwanda cha urafiki. Lakini huyu mama anachofanya ni kuwa yale mapato ya serikali yanayotokana na tozo mbalimbali katika soko la Mabibo anagawana kwa asilimia na kiwanda cha urafiki. Baraza la madiwani hatuna taarifa juu ya huo utaratibu, wala hatukushirikishwa kuamua % ya mgawanyo wa mapato. Wapi uliwahi kusikia serikali inagawana mapato na taasisi nyingine. Huo ni ufisadi mkubwa maana hakuna anayejua hizo asilimia zilifikiwaje.
MAHUSIANO MABAYA NA WATENDAJI WAKE
Kwa muda mfupi aliofika hapa tayari ameshagombana na DT kijana mweledi na anayeijua vizuri kazi yake hadi ameamua kukimbilia Manispaa ya Temeke. Issue ni kuwa mama anataka kupanga timu yake ya kufanya ufisadi sasa alishaona kwa huyu kijana na wengine atakwama. Kagombana na kila mtu hapo ofisini kuanzia wafanyakazi wa kawaida hadi wakuu wa Idara, lugha yake ni matusi tena ya nguoni na kujisifia kufahamiana na Waziri mmoja Mwandamizi.

Serikali hebu fuatilieni mwenendo wa huyu mama. Safari ijayo tutaeleza hujuma zake katika ngazi ya kisiasa, na jinsi asivyoheshimu vikao vyetu madiwani kwa kufanya maamuzi yeye binfasi bila kushirikisha Council.

TAKUKURU, vipi lile suala la Mkataba hewa wa ofisi, mmeamua kulifukia?
Nilidhani upigaji serikali za mitaa angalau umepungua! Hakuna eneo lenye mafisadi kama serikali za mitaa!
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,951
2,000
Moja,Huyu mama simfahamu wala terms of reference za ajira yake pia sizifahamu ila inawezekana kuwa analipwa fixed house allowance na yeye ndiye mwenye kuamua akaishi wapi.
Pili, kile kiwanja ni mali ya Urafiki lakini inawezekana kuwa urafiki pamoja na halmashauri wamekubaliana kuwa halmashauri waboreshe miundombinu ya soko halafu wagawane mapato PPP.
Tatu, Mahusiano ni subject to interpretation. Kama umeingia kwenye taasisi ambayo wafanyakazi wengi ni wapiga dili, hata ufanye vipi maelewano hayawezi kuwepo sijui naye ajiingize kwenye mkumbo huo.
Tuache majungu na kama kuna tatizo lolote lile, kanuni na taratibu zipo na wadau wote tunapaswa kuzifuata.
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa hakuna sehemu hatari za majungu kama halmashauri za Dar na Mbeya. Sehemu hizo kutoka salama inabidi ujiingize kwenye mitandao yao vinginevyo majungu yatakuondoa na kukuharibia.
Unachosema ni sahihi kabisa inavyoonekana wapo watu kaanza kuwabana pale ubungo sasa wanaanza kumchafua watumishi wengi wa ubungo pamoja na madiwani wao wengi wao ni wapigaji sana sasa inawezekana kabisa kawabana kwelikweli wameamua kumchafua,sitaki kumtetea lkn huyu mama ni miongoni mwa wakurugenzi bora kabisa na mwaaminifu sana labda awe kaharibikia ubungo,lkn pia kwa mda aliokaa ubungo hautoshi kuanza kuandaa mazingira ya wizi....nimapema mno....Nadhani yule kijana DT aliyeondolewa pale akahamishiwa Temeke anakundi lake lawapigaji ndiyo wameamua kupambana.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,959
2,000
MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI
Huyu mama amelipa Tsh 14milioni kama malipo ya pango ya kuishi mkurugenzi yaani nyumba ya kupanga kwa sababu Manispaa ya Ubungo haimiliki nyumba . Kilichofanyika huyu mama akatengeneza mazingira ya kutafuta hiyo nyumba yeye mwenyewe na mwenye nyumba kulipwa. Ufisadi upo kwasababu hiyo nyumba iliyolipwa Kunduchi bado inakaliwa na mwenye nyumba na huyu mama yeye anaishi kwenye nyumba yake Maramba Mawili Mbezi. Kifupi mama ametakatisha fedha.
KUGAWANA MAPATO KWA % NA KIWANDA CHA URAFIKI (SOKO LA MABIBO
Ufisadi wa pili ni kuwa Manispaa ya Ubungo wamepanga eneo la soko la Mabibo kiwanda cha urafiki. Baadaa ya majadiliano ya muda mrefu (kabla yeye hajaamia Ubungo) makubaliano ilikuwa manispaa iwe inalipa pango la upangaji (rent) kwa kiwanda cha urafiki. Lakini huyu mama anachofanya ni kuwa yale mapato ya serikali yanayotokana na tozo mbalimbali katika soko la Mabibo anagawana kwa asilimia na kiwanda cha urafiki. Baraza la madiwani hatuna taarifa juu ya huo utaratibu, wala hatukushirikishwa kuamua % ya mgawanyo wa mapato. Wapi uliwahi kusikia serikali inagawana mapato na taasisi nyingine. Huo ni ufisadi mkubwa maana hakuna anayejua hizo asilimia zilifikiwaje.
MAHUSIANO MABAYA NA WATENDAJI WAKE
Kwa muda mfupi aliofika hapa tayari ameshagombana na DT kijana mweledi na anayeijua vizuri kazi yake hadi ameamua kukimbilia Manispaa ya Temeke. Issue ni kuwa mama anataka kupanga timu yake ya kufanya ufisadi sasa alishaona kwa huyu kijana na wengine atakwama. Kagombana na kila mtu hapo ofisini kuanzia wafanyakazi wa kawaida hadi wakuu wa Idara, lugha yake ni matusi tena ya nguoni na kujisifia kufahamiana na Waziri mmoja Mwandamizi.

Serikali hebu fuatilieni mwenendo wa huyu mama. Safari ijayo tutaeleza hujuma zake katika ngazi ya kisiasa, na jinsi asivyoheshimu vikao vyetu madiwani kwa kufanya maamuzi yeye binfasi bila kushirikisha Council.

TAKUKURU, vipi lile suala la Mkataba hewa wa ofisi, mmeamua kulifukia?
Jacob bhana....... Weka jina na address ili taarifa yako ia!inike!
 
Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
2,312
2,000
Kwa maelezo yako mkuu kagendelahasi wewe ni mmoja wa wahe. Madiwani wa hiyo Manispaa, kama hizo hoja ni valid ninyi Wahe. Madiwani mna uwezo wa kumwajibisha huyo Mkurugenzi wenu kupitia vikao vyenu lakini muhimu ushahidi wa hicho unachokisema uwepo bayana.
Hongera kwa kuwa whistle blower mzuri though isije kuwa ni majungu.
 
bea

Senior Member
Oct 25, 2010
156
225
Yaani mtoa mada umechemka sana huyu Mama ni unayejaribu kumchafua ni hatari hanaga kupindindisha mambo alikuwa hapa mtwara mikindani aliwanyoosha na mji ukawa safi hatari kama ubungo ndo mambo yenu ya wizi jiandaeni ina onekana anapelekwaga sehemu zilizoshindakana kwani ni jasiri na ana uwezo mkubwa inavyoonekana.Usilete uchochezi huku huyo ni hatare
 
Mefloquine

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
500
1,000
Hao ndio madiwani wetu, wanakupeleka machnjioni, huku wameshika mapanga na mashoka, ukiangalia mnachoenda kuchinja huko hukioni. Kuja kutahamaki, washakugeuza kitoweo. Ukiwashtukia mapema, ndio fitina kama hizi. Na halmashauri nyingi zimejaa wezi, ili uendano nao, uwe mwizi, tena usiombe ukute hadi mkurugenzi nae mpigaji, utaomba poo ukiwa mzalendo.
 
chizo89

Senior Member
Aug 8, 2016
159
225
Gharama ya nyumba ni haki yake kimsingi hii inaendana hadhi ya eneo husika: maeneo mengi hasa mikoani unaweza kuta gharama za pango kwa wakuu wa Idara zinafika hadi 7,200,000 kwa mwaka sasa sishangai kuona dar es salaam 14,000,000 maana hii nayo ni gharama za furniture kwa miaka 5.
kwangu sio issue jengo hoja au mtafute ufisadi wake kwa upande mwingine maana hao PCCB hili hawawezi kulifanyia kazi. pole sana kiongozi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom