Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,702
Tetetee!February siku akiacha kupiga madili akiwa waziri mniite kibogoyo nipo nimekaa pale.
Tetetee!February siku akiacha kupiga madili akiwa waziri mniite kibogoyo nipo nimekaa pale.
Kwani kajiteua mkuu? Vipi alie mteua mbona hamumlalamikii?Hivi wachawi na waganga hawapo wa kumwondoa huyu kipara kwenye ulimwengu wa siasa?
Kwani kajiteua mwenyewe?February siku akiacha kupiga madili akiwa waziri mniite kibogoyo nipo nimekaa pale.
Na hilo ndio ccm wanataka,itakuwa vzr sababu ataingia kwa mgongo wa nyuma na huko ataenda kufumua yote yaliyo chini ya kapeti.
Nakuona СССР КАК У ВАШ? ТЫ БЫЛ ТАМ?Kwani kajiteua mwenyewe?
Yes ,wanataka waweke sheria tusitumie kuni Mara mazingira Mara mapafu na kansa,yaani baadaye watakataa mkaa ama kuni zisionekane jamani na ilhali mbao zionekane ili tununue gesi zao. Kwani hayo madini nayo si Ni maliasilia so yataisha yakichimbwa Sana ama Ni kwa miti pekee.Bush Electrical Engineer and Sole Distributor of TaifaGas Prince January Makamba from Msoga Kingdom!!!
Pale jagwani wameamua kujenga uwanja we unadhani vyura tutafugia wapiKipara kashika wizara.. upigaji lazima jamaa amewekwa hapao kimkakati, ni tukifnaya mchezo bwawa litaisha na umeme hakuna.
Inafikirisha....ila aende wapi kwa mfano?Mpina atafute kazi nyingine 2025, walamba asali hawatakubali arudi.
Akili yako ndo imesihia hapo!!!Anajikosha tu kwanza hatujasahau alikuwa kichaa kama kichaa mwenzie aliyempa kazi. Samia asikubali kumpa uwaziri huyo Sukuma gang tapeli na fisadi.
Mpina atafute kazi nyingine 2025, walamba asali hawatakubali arudi.
Hayo anayosema ni kweli 100% kama ambavyo kutapeliwa trillion 450 ni kweli kabisa ila tofauti ni kwamba CCM haijawahi kuacha ufisadi tokea uhuru ila tatizo kina Mpina wakiwa madarakani wanapotezea ule ufisadi wanakuja kulalamika wakikosa uwaziri so inaua credibility na collective efforts za wananchi na wabunge maana wanaona maigizo tu.Mbali na yote hayo; haya anayoyasema sasa ni ya kweli au ya uwongo? Hayo mengine ni ya kawaida kwa wanasiasa maana 99.99% ni watu wanaoishi kwa kufuata upepo na ulaghai na undumilakuwili ndiyo sifa yao kuu.
Pengine tujikite katika hoja yake ya sasa. Ni kweli hayo mapesa yamepigwa? Na kama yamepigwa nini cha kufanya?
Yeah wanaturudisha nyuma sana!! Leo wakiwa serikalini wanasema A wakinyimwa uwaziri wanasema B unadhani tutawachekea mpaka lini wanavyotuchezea akili?Kwanini una akili za ajabu hivyo mkuu, badala kujadili hoja iliyopo mezani unajadili mtu !
Kipindi Cha JPM Kuna performance audit ilifanywa kwenye hii miradi na ripoti kusomwa bungeni? Nachochukia ni double standards za Hawa wakosa uwaziri!! Yaani anavyodai Kuna ufisadi kipindi kina Lissu wanasema Bwawa la Nyerere Kuna usiri mkubwa kwenye mikataba, ukaguzi n.k mbona wakisema anatumiwa na mabeberu?? Sikuona Mpina akisema uchunguzi ufanyike Wala kumhoji JPM juu ya usiri ule kwa bunge.Brother nadhani kama nimemsikia vizuri Mpina ameibua hoja kupitia Taarifa za Kamati za Bunge pamoja na Taarifa ya Waziri kuhusu Mpango unaojadiliwa bungeni sasa mnafiki ni Mpina au wanafiki ni Kamati zilizoibua hayo mambo ninachoona mimi Mpina ametumia lugha rahisi kutufafanulia sisi tusiolewa mambo ya mahesabu.
Ndio maana wapinzani walisema performance audit zifanyike kwenye manunuzi ya ndege, miradi kama SGR na Bwawa na pia mikataba yote iletwe bungeni ila CCM WOTE walipinga alafu Leo tukiibiwa eti ndio tumuone Mpina ni hero? Hivi tupo serious? Ni lini CCM iliacha ufisadi au Kuna sekta Gani Tz hakuna ufisadi?Unajadili hoja kitoto sana. Jadili hoja iliyoko mezani mambo ya uwaziri hayatusaidii unaambiwa kuna Trilioni 1.5 haijulikani ilipo ambayo fedha yetu watanzania wote iliyotakiwa kulipwa na mkandarasi kwa Serikali hujiulizi hayo maswali kwanza.
Kwa hiyo unamaanisha kwa kuwa unamuunga mkono Mr #dishlimetilt basi na wewe ni mshikishwa ukuta kama yeye?Anajikosha tu kwanza hatujasahau alikuwa kichaa kama kichaa mwenzie aliyempa kazi. Samia asikubali kumpa uwaziri huyo Sukuma gang tapeli na fisadi.
Na wataendelea kukuchezea akili sana wewe na wengine wenye simple mind kama za kwako, maana umechagua siasa za kushabikia watuYeah wanaturudisha nyuma sana!! Leo wakiwa serikalini wanasema A wakinyimwa uwaziri wanasema B unadhani tutawachekea mpaka lini wanavyotuchezea akili?
Kuna Mpina, Kigwangallah na Polepole. Yaani Leo ndio wamegundua kuwa ripoti ya CAG ni ya kweli? Why enzi zile CAG anasema 1.5T hazijapita mfuko mkuu wa serikali walidai eti CAG anatumika na wapinzani wa JPM ila wakiwa nje ya serikali ndio wanaamini CAG ni mkweli??
Haya wakisema upinzani ndio tutaelewa sio Hawa wanafiki wa CCM wakishapewa uwaziri watakanusha hizi Hansard!!
Wanawechezea nyie akili sio sisi, tunaojitambua tunajua solution ni katiba mpya Ili mikataba ipelekwe bungeni, mahakama huru, na CAG apewe ruhusa kuchunguza KILA KITU sio kama Sasa anakua restricted eti Vote 28 ni SIRI!Na wataendelea kukuchezea akili sana wewe na wengine wenye simple mind kama za kwako, maana umechagua siasa za kushabikia watu
Badala ya siasa za hoja na sera madhubuti,
Mtu anapotoa hoja hutuangalii ni nani Bali hoja yake ina nguvu kiasi gani kwa maslahi ya taifa letu,
Watu wanageuka , wanakufa , wanabadili mawazo, ila hoja zinabaki,
Kuna watu walishabikiwa ila wakabadilika ila hoja zao zinanaki
Kuna watu waliaminiwa na kitegewa kiasi Cha kutaka kupewa uongozi wa mile lakini hawapo, Lakini hoja zao zip
Na hili tatizo naliona sana kwenye member wa upinzani na baadhi ya member wa Chama tawal
Tunahitaji kinadilika la sivyo humyajua mnachokisimia kwenye hii nchi