Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,890
- 21,977
Wassalaaam alheikum wale wakristo bwana asifiwe wale wakina kimbonde
habarini za saiz ;wanandugu kuna mdau kantumia barua ya malalamiko nikaona ni vyema sie kama wadau wanusa ufisadi tuangalie kuwasaidia hawa watu wanaoojaribu ku aaply kazi na kukutana na uwendawazimu kwenye interview;ilikuwa inasema ifuatavyo
Ndugu wapendwa imenipasa kuhoji ajira hizi za serikalini kama zinatolewa kwa kujuana aama ni qualification za mtu;mimi ni mmoja nilieona ajira ya kazi ikitangazwa na wizara ya kazi na vijana wakiomba watu wa apply kwenye
uwenyekiti wa bodi,wajumbe,director wa PARASTATAL PENSION REGULATORY BOARD
Bahati nikapeleka na majibu ya lipokuja nilikuwa katika moja ya nafasi za kusubiri interview kwenye post ya director;wakati tumemaliza interview ndugu yetu mmoja akatuambia tunapoteza muda tu watu walishachaguliwa ;
mi ni mmoja wa wasioamini maneno ya mtaani; tumesubiri muda awatoi majibu ya waliopita;ikabidi sisi na baadhi ya watu walio apply tuanze kufwatilia ndipo tukakutana na hili skendo ;upande wa director lilipelekwa jina la David Mattaka ambae akuwahi kufika kwenye interview wala ku apply hiyo posn;lilipofika ikulu watu wakawahi kwa waziri mkuu na kueleza yote ndipo ikabidi watafutane
Ndugu zanguni niwaambiavyo hivi wametupigia kila mmoja wana advertise upya na anaetaka ajaribu tena ku aaply.kwa ufupi kwenye gaZeti ndugu D,mattaka aliapply sehemu ya mwenyekiti wa bodi na mjumbe;ajabu hii ya director akuapply wachilia mbali akufika kabisa kwenye interview
Swali langu je hivi mtu akishindwa kufika kwenye interview inarudiwa ama ?
wanandugu nimekosa majibu nikaona tujaribu kushare nawaungwana