Ufisadi mkubwa wa ajira pprb;jina la mataka lapelekwa bila interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mkubwa wa ajira pprb;jina la mataka lapelekwa bila interview

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 14, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,547
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Wassalaaam alheikum wale wakristo bwana asifiwe wale wakina kimbonde
  habarini za saiz ;wanandugu kuna mdau kantumia barua ya malalamiko nikaona ni vyema sie kama wadau wanusa ufisadi tuangalie kuwasaidia hawa watu wanaoojaribu ku aaply kazi na kukutana na uwendawazimu kwenye interview;ilikuwa inasema ifuatavyo

  Ndugu wapendwa imenipasa kuhoji ajira hizi za serikalini kama zinatolewa kwa kujuana aama ni qualification za mtu;mimi ni mmoja nilieona ajira ya kazi ikitangazwa na wizara ya kazi na vijana wakiomba watu wa apply kwenye

  uwenyekiti wa bodi,wajumbe,director wa PARASTATAL PENSION REGULATORY BOARD
  Bahati nikapeleka na majibu ya lipokuja nilikuwa katika moja ya nafasi za kusubiri interview kwenye post ya director;wakati tumemaliza interview ndugu yetu mmoja akatuambia tunapoteza muda tu watu walishachaguliwa ;
  mi ni mmoja wa wasioamini maneno ya mtaani; tumesubiri muda awatoi majibu ya waliopita;ikabidi sisi na baadhi ya watu walio apply tuanze kufwatilia ndipo tukakutana na hili skendo ;upande wa director lilipelekwa jina la David Mattaka ambae akuwahi kufika kwenye interview wala ku apply hiyo posn;lilipofika ikulu watu wakawahi kwa waziri mkuu na kueleza yote ndipo ikabidi watafutane
  Ndugu zanguni niwaambiavyo hivi wametupigia kila mmoja wana advertise upya na anaetaka ajaribu tena ku aaply.kwa ufupi kwenye gaZeti ndugu D,mattaka aliapply sehemu ya mwenyekiti wa bodi na mjumbe;ajabu hii ya director akuapply wachilia mbali akufika kabisa kwenye interview
  Swali langu je hivi mtu akishindwa kufika kwenye interview inarudiwa ama ?

  wanandugu nimekosa majibu nikaona tujaribu kushare nawaungwana
   
 2. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Duh! sijui mnasindikiza Bwaha harusi?
  Swali: Je yuko 'benet' na vigogo wa Network?
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  David Mattaka ni mwana mtandao wa JK kwa hiyo fujo zinendelea
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,547
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Mnashindana na mbungem tarajiwa
  loh!!!
   
 5. W

  Werema Ekekondo Member

  #5
  Jan 15, 2010
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is tantarizing!!!! What a mess? Who is David Mattaka after all????!!! His name appears in almost all the lists of shame of this country but still alive and surviving! We will one day apply the Mungiki style of mutinying people like him who are fully hated by the development liking people in our society but thriving only because he is close to the top brass of the political elite who are equally shameful like JK.

  Let us stand up for our rights and make sure our resources are never squandered by people like him and his close companion, JK!!!
   
 6. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tanzania kuna haja ya kuanzisha MUNGIKI yetu au tuazime ile ya Kenya,maana
  watu wanatuhumiwa PCCB haiwapeleki mahakamani,
  ikiwaandalia mashtaka DPP anaweka kapuni,
  DPP akiruhusu mahakama inabana,
  mahakama ikiwahukumu wanakata rufaa wanashinda kesi

  MUNGIKI ndiyo suluhisho kwa watu kama hawa,wataacha tu haya mambo.
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mpaka hapo .............tuko pamoja kabisa  ....duuhh.......ndugu yangu.....unaweza kutueleza ulijuaje Mattaka haku-apply?


  Hivi Uenyekiti au Ujumbe wa Bodi una-apply?.......
   
 8. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu, Nakumbuka tangazo nililiona lakini ni la Social Security Regulatory Authority (SSRA). Au kuna na la PPRB? Naomba kujuzwa hapo?
   
 9. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Nakushauri, ukate rufaa hiyo inaruhusiwa kwa taratibu za utumishi wa umma kama mpango mzima wa kuendesha interview, kuchagua waliopass interview haukufanyika kwa mujibu wa taratibu. Bwana ebu kataa rufaa kwenda utumishi ujue kulikoni
   
 10. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  TUMECHOKA TUMECHOKA TUMECHOKA D. MATTAKA NI NANI? NI NANI NI NAN? MBONA KILA MAHALI WANATAKA AWEPO NA INASEMEKANA KIPIND CHA MKAPA ALIPIGWA CHIN MKUU KUWA RAIS AKAMBEBA AKAMPA ATC KABORONGA SASA HUYU MKUU CJUW TATIZO NINI, WEL ANAMIAKA MITANO TU NA ATALIJUWA JIJI NA MARAFIKI ZAKE HAKUNA RANG ATA ACHA ONA NAITAZAMIA TANZANIA MPYA AMBAPO MAFISADI WATAKUWA HAWANA CHAO PESA ZAO ZITAKUWA KAMA PAMBA MBELE YA UMA.NAMSHAUR RAIS WANGU KUWA MAKIN MAANA MIAKA MITANO AKI IPATA ASIDHAN ATAKUWA NA NGUVU KAMA ALIZO NAZO SASA, ATAKUWA AKIKOSOLEWA LIVE NA KILA MTU HATOAMIN ILA HZO NI DALIL TU ZA MVUA MAFURIKO 2015 TANZANIA MPYA NO MATTAKA NO JK NO ANY BODY CAL SIMBA. TAIFA LETU NA WENYE MAPENZ MEMA TUTATAWALA. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabarik Watanzania. Thank u
   
 11. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyu si aliifilisi PPF sasa kwenye board ya kuregulate anawezaje tena?

  besides kuna vijana wengi tu wanaelimu nzuri kuhusu hayo mambo si wawaajiri.
   
 12. T

  Tsidekenu Senior Member

  #12
  Jan 15, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wadau, mimi nafanya kazi kama HR na ninaweza kusema nimeacquire skills nyingi kwenye hii proffesion including recruitment. Mtu anaweza kuomba nafasi fulani lakini baada ya kumfanyia anlysis inaweza ikaonekana kuwa kwa nafasi aliyoomba hafiti ila nyingine (kutokana na skills, experience, educations etc) Kwa hili la Mattaka inwezaekana alionekana hafiki kwenye hiyo nafasi ya chairman but waliomuinterview wakaona he would fit much better kwenye nafasi ya udirector. hizo huwa zinatokeaga mara nyingi sana especially kama huyo candidate bado yuko fiti zaidi ukicompare na wengine walioapply nafasi hiyo ya chini.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,547
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  yap walitangaza
  NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI
  MJUMBE WA BODI
  KATIBU
  NA MKURUGENZI WA BODI
   
Loading...