Ufisadi mkubwa ulifanyika kipindi cha Mkapa barabara ya Morogoro

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Wakubwa mnakumbuka hii barabara ya morogoro iliyojengwa kipindi cha mkapa'bouble road ziliishii kimara wakati zilitakiwa kufika maili moja kibaha sasa imekuwa kero kwa wakazi wa huku kila siku ni foleni'ni ufisadi mkubwa ulifanyika nasikia kampuni ilipewa tenda iliuzwa vifaa vyote na kurudi kununua vipya kutokana na faida waliyopata
 
Morogoro road ni kero kubwa, yaani foleni huanzia kibaha mpaka uingiapo mjini.
ila sijui plan ilikuwaje juu ya Moro-rd
 
Duh,
By the time waziri husika alikuwa nani, hebu ngoja ni-search info nielewe.
Hakika ni taabu mno barabara hiyo kiukweli, ufisadi kumbe umeanza kitambo ila WANALINDANA
 
jamani hakuna asiye juwa,kila mtu anaelewa kuwa ufisadi ulianza enzi za mkapa na mpaka sasa unaendelea,uzuri wa mkapa alikuwa mkali so hakuna mtz aliyeweza kuhoji na tatizo la kikwete ameruhusu watu kuhoji ndio maana yote haya yanatokea,na mala nyingi nadhani ni bora uwe dictator nchi itasonga kama mkapa,ila ukiwa easy going easy coming cha motu utakiona

mapinduziiii daimaaaaaa:kev::)
 
Huyu Mzee mtoto wetu ndiye aliyeweka kinga ya ufisadi wa Mkapa. Eti mwacheni apumzike!

Shit!
 
jamani hakuna asiye juwa,kila mtu anaelewa kuwa ufisadi ulianza enzi za mkapa na mpaka sasa unaendelea,uzuri wa mkapa alikuwa mkali so hakuna mtz aliyeweza kuhoji na tatizo la kikwete ameruhusu watu kuhoji ndio maana yote haya yanatokea,na mala nyingi nadhani ni bora uwe dictator nchi itasonga kama mkapa,ila ukiwa easy going easy coming cha motu utakiona

mapinduziiii daimaaaaaa:kev::)

Ila partly ni kweli kwa usemacho..
 
Tatizo kubwa la watanzania wengi pamoja na members wa hii forum ni ufahamu finyu unaotaokana na kutosoma au kufanya utafiti kabla ya kuongea au kuleta mjadala.
Barabara ya Morogoro ilijengwa kwa msaada (grant, which means we do not pay back the money) kutoka serikali ya Denmark kupitia DANIDA. Design na construction ilifanywa kuendana na fedha iliyotolewa. Serikali ya Tanzania haikuhusika kuchangia chochote zaidi ya kulipa fidia kwa mali zilizoathiriwa na ujenzi. Hovyo unapozungumzia ufisadi hapa hakuna cha kujadili
 
They enlarge on what they see and they judge to what they feel-hatari sana hii!
 
Wakubwa mnakumbuka hii barabara ya morogoro iliyojengwa kipindi cha mkapa'bouble road ziliishii kimara wakati zilitakiwa kufika maili moja kibaha sasa imekuwa kero kwa wakazi wa huku kila siku ni foleni'ni ufisadi mkubwa ulifanyika nasikia kampuni ilipewa tenda iliuzwa vifaa vyote na kurudi kununua vipya kutokana na faida waliyopata

Plan ilikuwa mpaka Mlandizi!!!!
 
Nimeona inafanyiwa feasibility study sasa sijui wanataka kujenga 4 lane sielewi ila kuna kibao kinachoonyesha construction ya hiyo barabara
 
Back
Top Bottom