NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 26
Wandugu hawa ndugu zetu Wanadai wa wametengeneza Mv Victoria kwa gharama ya Sh 400 milioni meli ikapiga trip moja kwenda BKB kurudi Mwanza karibia iwamwage ndugu zetu Ziwani then wameirudisha gereji milioni 400 zimekwenda sasa iliyobakia Mv Serengeti nayo jana Imewaacha abiria BKB na kuja tupu Huu ni ulaji wa KASI