Ufisadi Marine Services

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Wandugu hawa ndugu zetu Wanadai wa wametengeneza Mv Victoria kwa gharama ya Sh 400 milioni meli ikapiga trip moja kwenda BKB kurudi Mwanza karibia iwamwage ndugu zetu Ziwani then wameirudisha gereji milioni 400 zimekwenda sasa iliyobakia Mv Serengeti nayo jana Imewaacha abiria BKB na kuja tupu Huu ni ulaji wa KASI
 
Kwani zile boart kasi zimeishia wapi? nasikia akinashomile walishindwa kumudu nauli! labda tuwaombe wakara wawapeleke na ngama au karua. kuna basi jipya "marcopolo" la mohamed trans bado tu wanangangania mv.victoria.
 
Wandugu hawa ndugu zetu Wanadai wa wametengeneza Mv Victoria kwa gharama ya Sh 400 milioni meli ikapiga trip moja kwenda BKB kurudi Mwanza karibia iwamwage ndugu zetu Ziwani then wameirudisha gereji milioni 400 zimekwenda sasa iliyobakia Mv Serengeti nayo jana Imewaacha abiria BKB na kuja tupu Huu ni ulaji wa KASIHapa dawa ni kula sahani moja na wizara na waziri husika
 
Hayo ni mambo ya kwawida kwenye mambo ya kiufundi. Kama meli imefanya safari ya kwanza baada ya kutoka kwenye karakana unaweza kutegemea vitu kama hivyo. Ma injinia wenzangu wataniunga mkono. Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom