Ufisadi lazima iwe Serikalini? Vip aliyekuwa kiongozi wa Yamoto Band si Fisadi?

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
583
Aliyekuwa au anayesimamia Band ya Yamoto Band huyu si Fisadi au kwa Sababu hayupo Serikalini au Ufisadi ni Mwajiliwa wa Serikali tu???
 
Fella au nani?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
unapajua kilungure weye?? ndo diwani huko so bado ni mserikalini huyo
 
fisadi kivip? vijana mnasaidiwa na kutolewa huko mafichon mnajulikana na kujipatia mkate
bd hamridhik Fela kawaonyesha njia ni jukum lenu kujiongeza na muwe na shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom