UFISADI KILA KONA: Taasisi ya Mama Bisimba yabainika kutumbua Fedha za wahisani bila tija

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJF,

Wafadhili kutoka mataifa ya Sweden na Norway wanadaiwa kusitisha ufadhili wao kwa taasisi ya Legal and Human Right Centre(LHRC) baada ya kubaini matumizi mabaya ya fedha walizokuwa wakizitoa.

IMG_2916.JPG


Kwakweli taarifa hii imeshtua na kushangaza wengi kutokana na taswira iliyojijengea kwa jamii taasisi hiyo ambayo imekuwa ikijipambanua kwa kupigania haki za wanyonge chini ya Mkurugenzi Mama Hellen Kijo Bisimba.

Kwa msaada wa Gazeti la Uhuru.
 
Hili ni suala la muda tu, muda ukifika tutajua ukweli ni upi. kama hii ni habari ya uzushi wa gazeti au kweli Taasisi iliyotajwa imepiga DILI.
 
Back
Top Bottom