Ufisadi katika makampuni

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,881
2,908
JF imekuwa ni sauti na kelele zenye kuleta matunda hapa JF na kwa jamii kwa ujumla, ili kuweza kutokomeza hali ya ufisadi nchini wana JF wote tunaombwa kupiga kelele zetu hapa bila kuchoka. Bila shaka kuna tabia za kifisadi katika mashirika mbali mbali dhidi ya wafanyakazi tuyaweke hapa JF.
 
Back
Top Bottom