Ufisadi hauna madhara makubwa kama kutokuwajibika kwetu

Shayu

Platinum Member
May 24, 2011
608
1,653
Ni watu wenyewe ndio hufanya taifa likue na liendelee. Serikali ina nguvu kidogo sana ya kufanya hili litokee. Nguvu kubwa imelala kwa wananchi. Serikali ni mratibu tu. Lakini watu ndio wenye nguvu. Wanaweza kulifanya taifa kuwa kubwa au dogo. All power lie in them. Wakitaka wanaweza kulifanya taifa lao kuwa kubwa. Wasipotaka hilo halitowezekana. Na huwezi kuwalazimisha. Serikali inaweza kuwaelimisha tu lakini kutenda ni juu yao. Huwezi walazimisha wafanye kazi kama hawataki.

Serikali inategemea kodi kwaajili ya maendeleo ya nchi. Kama wananchi hawana nguvu ya kuzalisha vya kutosha nchi haiwezi kuendelea. Tatizo ni how we utilize this force for our production tuna watu zaidi ya million hamsini now. Ni wangapi wenye uwezo wa kuzalisha wanashiriki active kwenye uzalishaji? Uvivu wetu ni tatizo, Scarcity inaonekana kwasababu tunazalisha kidogo na tunapata kodi kidogo. Sio kwamba ulaya hakuna ufisadi upo kwakuwa wanazalisha sana madhara yake hayaonekani sana kwa wananchi kwasababu kodi bado wanakusanya kubwa kutoka kwenye vyanzo vingi walivyonavyo.

Kutokuwajibika kwetu collectively ni tatizo kubwa kuliko ufisadi. Watu wanaofanya kazi ni wachache kuliko wanaokula. Tunakusanya only 1.2 trillion kwa mwezi na nusu ya hiyo ni kwaajili ya mishahara. Kama watu wengi zaidi wangekuwa engaged kwenye uzalishaji mali na kufanya kazi kwa bidii na uaminifu vyanzo vya kodi vingeongezeka na pato lingekua.

Eneo kubwa la taifa letu linafaa kwa kilimo lakini ukichunguza bado hatulitimii ipasavyo kwa kilimo. Kwahiyo tunapaswa kuja na mipango kabambe ya kuondoa umaskini wa taifa letu na hili sio jukumu la serikali pekee. Ukweli ni kwamba hatuna focus vya kutosha katika kuondoa umaskini wa nchi yetu au hatuja direct our energy vya kutosha katika suala hili. We are not serious enough. Lakini ni suala linalowezekana ila linahitaji umoja wetu wote na kuondoa ubinafsi na mivutano ya kisiasa isiyo na tija na ku focus katika issues ambazo ni muhimu.

Hatujitoi wote kwa taifa letu. Tunajitoa nusu nusu tena bila uhakika wa tunachofanya. Hatuna mission. Tunaishi kwaajili ya mkate tu. How can we make this country great?

We must unite. We must think together. We must abolish all selfishness. If we want to elevate this nation. We must cast out our division.

Tupeleke lawama zote za kutoendelea kwa taifa letu kwa serikali tuseme. Lakini kuna mambo mengine yanatuhusu sisi wenyewe kama mahusiano yetu na familia zetu, zina hali gani? Ziko pamoja? Zina furaha? Mahusiano yetu yakoje? Hatuwezi kujenga taifa bila mahusiano bora. All things starts there kwenye mahusiano yetu. Are we look each other as brothers? So that we can work together and cooperate?

Kuna vitu ambavyo vinatuhusu sisi moja kwa moja. je perfomance yetu ikoje katika vitu hivyo? Tunakuza watoto wetu vipi? Kwasababu watoto hawa ndio wanaokuja kuwa viongozi na future ya taifa hili inawategemea wao.

All these things lies on character we are building from the scrach. Our future as the nation depend on that. Tunapojenga character za watu, tunajenga chatacter ya nchi.

Tusiwe taifa la watu wasiokuwa na malengo kwa taifa lao. Au kutokuwa na matumaini yeyote juu ya baadae yao. Lazima tutafute nafasi yetu katika dunia. The world must ine day recognise us by our ability to work and achieve great things. We have that power.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom