Ufisadi ndani ya ccm ni jambo la kawaida na anayeiba fedha nyingi huitwa shujaa ( rejea mapokez ya chenge jimboni kwake mara aliporejea na kutamka 1.5 bil. ni vijisenti). Kwa sasa hakuna anayeweza kuzuia wizi ndani ya CCM hata Magu hana ubavu huo kwa kuwa naye ni fisadi wa kutupwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.