Ufisadi bodi ya tanapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi bodi ya tanapa

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by kohena, Apr 26, 2011.

 1. k

  kohena Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nchi imekuwa ya ajabu sana watu wamekuwa wakijichotea pesa bila jasho, miezi miwili au mitatu imepita Bodi ya TANAPA ilvunjwa ili kuteuliwa tena watu wengine na kwa kawaida huwa inakaa madarakani kwa muda wa miaka mitatu, ukiacha pesa wanazolipana kwenda kwenye vikao kuna pesa wanapata wanachama pindi wanapomaliza muda wao sasa safari hii kila mtu amechota 58,000,000 kama kiinua mgongo cha kukaa kwenye bodi kwa miaka 3 na wako 12. Wana JF huu si ufisadi kweli? Na mwenyekiti karudi yuleyule.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,043
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280

  Aisee...hii ni hatari sana...Profesa wa pale Mlimani anapostaafu kazi huwa na kiinua mgongo kiasi gani> Nakumbukja Marehemu Haroub Othmani ilikuwa kama mil 20 hivi, leo watu wanakaa miaka 3 mil 58?
   
 3. wasaimon

  wasaimon R I P

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tufanyeje, ndo Tanzania hiyo mkuu ni zaidi ya uijuavyo. Hawa jamaa wako kwa ajili ya kupeana ulaji tu, lkn viongozi wa nchi hii iko siku tunaapa nchi hii kwa staili hii haitakalika kwani watz sasa wameshaanza kuzijua baadhi ya haki zao tena za msingi, hivyo basi ni vyema hizo kasoro zikarekebishwa mapema. Hizo bodi kwenye hayo mashirika ya umma si wanafanya kazi part time? kama ndivyo iweje walipwe pesa mingi kiasi hicho??
   
Loading...