Ufisadi Bariadi: RC yupo, DC yupo na Bado wapo...

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Jana jpm katolea mfano ufisadi wa halmashauri ya bariadi na hatua alizochukua kwa watendaji cha ajabu hao wanasiasa mbona huwa hawagusi nn anachoogopa?
 
Alichokiongea Magufuli kuhusu Bariadi ni cha kweli kabisa.

Hicho kibarabara alichokizungumzia ukikiona utajua lazima tu kuna hela zililiwa.
 
Jana jpm katolea mfano ufisadi wa halmashauri ya bariadi na hatua alizochukua kwa watendaji cha ajabu hao wanasiasa mbona huwa hawagusi nn anachoogopa?
Anaogopa watamwaga siri ya ushind wake hadharani
 
Hivyo vyeo ndo maana tulisema vifutwe havina maana inakuwaje wizi mkubwa na wao wapo mpka rais na PM wagundue .wnakazi gani kama hâta kuwawajibisha ni ngumu
 
Raisi wetu anazungumza sana. Mara nyingine nafikiri angeweka akiba ya maneno. Ishu kama za bariadi anatakiwa tu awashughulikie bila kuonekana analifanya kuwa la kisiasa. Mambo mengine ya kiutendaji na yanayohusisha mchakata wa kinidhamu si lazima yatajwe kwenye hotuba.

Binafsi namheshimu mheshiwa na nakubali kile anachofanya. Hata hivyo style yake ina acha maswali kwa baadhi ya wananchi.
 
Back
Top Bottom