Ufaransa yaanza kuandaa “Jua linalotengenezwa na Binadamu” linalotarajiwa kutoa umeme kote duniani mwaka 2035

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Ufaransa yaanza kuandaa “Jua linalotengenezwa na binadamu” linalotarajiwa kutoa umeme kote duniani mwaka 2035

Mradi wa Kimataifa wa Utafiti na Uhandisi wa Nyuklia ITER umeanza kuandaliwa rasmi mjini Provence nchini Ufaransa terehe 28 mwezi huu, mradi ambao ni mkubwa zaidi wa utafiti na uhandisi wa nyuklia kote duniani unaoshirikisha nchi za China, Ulaya, India, Japan, Russia, Korea Kusini na Marekani.

Mradi huo unasifiwa kama “Jua kubwa zaidi linalotengenezwa na binadamu” katika historia, na unatarajiwa kutoa nishati safi ya kutosha kwa dunia nzima kuanzia mwaka 2035.

Source CRI Kiswahili.
 
Hili lililopo limeshindwa kazi?au kitawaka usiku?
 
Back
Top Bottom