Ufaransa kuanzisha kodi kwa Kampuni kubwa za Internet nchini humo

Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
284
Likes
400
Points
80
Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
284 400 80
Ufaransa imesema itaanzisha kodi yake kwenye kampuni kubwa za intaneti na teknolojia kuanzia mwezi Januari, ikiwa Umoja wa Ulaya utashindwa kukamilisha utaratibu wa kodi mpya ya kikanda.

Waziri wa fedha wa Ufaransa Bruno Le Maire amesema leo kuwa kodi hiyo itaanzishwa kwa vyovyote vile Januari Mosi, na itatozwa kwa mwaka wote wa 2019 kwa kiwango kinachokadiriwa kufikia euro milioni 500.

Ufaransa imekuwa ikishinikiza kuanzisha kodi mpya inayojulikana kama GAFA, jina linalotokana na makumpuni ya Google, Apple, Facebook na Amazon, kuhakikisha kuwa mashirika hayo makubwa duniani yanalipa kodi ya haki kutokana na operesheni zao za kibishara barani Ulaya.

Kiwango kidogo cha kodi kinacholipwa na mashirika hayo ya Kimarekani kimekuwa kikizusha hasira mingoni mwa wapigakura katika mataifa mengi ya Ulaya, lakini kanda hiyo yenye wanachama 28 imegawika juu ya namna ya kushughulikia suala hilo.
 
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Messages
3,136
Likes
5,612
Points
280
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2018
3,136 5,612 280
Aisee!
 
ndaga boy mtemi

ndaga boy mtemi

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2018
Messages
447
Likes
125
Points
60
ndaga boy mtemi

ndaga boy mtemi

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2018
447 125 60
ndio inavyotakiwa ivyo
 
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
3,288
Likes
8,806
Points
280
Bradha

Bradha

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
3,288 8,806 280
Ufaransa imesema itaanzisha kodi yake kwenye kampuni kubwa za intaneti na teknolojia kuanzia mwezi Januari, ikiwa Umoja wa Ulaya utashindwa kukamilisha utaratibu wa kodi mpya ya kikanda.

Waziri wa fedha wa Ufaransa Bruno Le Maire amesema leo kuwa kodi hiyo itaanzishwa kwa vyovyote vile Januari Mosi, na itatozwa kwa mwaka wote wa 2019 kwa kiwango kinachokadiriwa kufikia euro milioni 500.

Ufaransa imekuwa ikishinikiza kuanzisha kodi mpya inayojulikana kama GAFA, jina linalotokana na makumpuni ya Google, Apple, Facebook na Amazon, kuhakikisha kuwa mashirika hayo makubwa duniani yanalipa kodi ya haki kutokana na operesheni zao za kibishara barani Ulaya.

Kiwango kidogo cha kodi kinacholipwa na mashirika hayo ya Kimarekani kimekuwa kikizusha hasira mingoni mwa wapigakura katika mataifa mengi ya Ulaya, lakini kanda hiyo yenye wanachama 28 imegawika juu ya namna ya kushughulikia suala hilo.
manengelo Unaizungumziaje hii kodi ya GAFA 😂😂😂
 
Forum statistics

Threads 1,262,097
Members 485,449
Posts 30,112,912