Ufanye nini mumeo anapowaita wanaume wenzake Darling, Love, sweetheart etc

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,016
Nimepata malalamiko kutoka kwa dada mmoja ninayeuza naye samaki hapa soko la Mabatini.
Analalamika kuwa kwenye simu yake mumewe akiwaita wanaume wenzie majina tata, dear, darling, sweetheart, honey etc.
Je hii imekaeje wadau? Je mdada afanyeje?
 
sioni cha ajabu hapo, harmless name calling. kama anakereka mno then amwambie mumewe dukuduku lake
 
Nimepata malalamiko kutoka kwa dada mmoja ninayeuza naye samaki hapa soko la Mabatini.
Analalamika kuwa kwenye simu yake mumewe akiwaita wanaume wenzie majina tata, dear, darling, sweetheart, honey etc.
Je hii imekaeje wadau? Je mdada afanyeje?
mi sijui nyie wanaume mna shida gani....
mbona sisi wadada tunaitana sana hayo majina na tunaona poa tu?
 
missed you a lot; mzima lkn?

so do i ma dearest..............
niko poa ila ugali wa kids unanihangaisha sana wangu si unajua mwaka uko katikati?? july inakuja ada zatakiwa tena mamii so nakaza but manake waliniambiaga hivi nyota ya kijan sikuiona?? manake kila jumamosi leba nitakoma kwenye kuwapa elimu na mm nataka niwaonyeshe kwamba nilizaa kwa mpango na nalea kwa maringo.
 
hongera mwaya, tusipohangaikia watoto tutafanya nini humu duniani? Ungeniona mimi recently kwenye bodaboda kama km 80 kwenda kutafuta mazao usingeamini. It feels good kutafuta kwa ajili ya watoto, a sense of resiponsibility hiyo ambao hawajazaa sio rahisi kuilewa.
 
kwani ni ajabu kuita hivyo usishangae ya filauni utaona ya............................!
Nimepata malalamiko kutoka kwa dada mmoja ninayeuza naye samaki hapa soko la Mabatini.
Analalamika kuwa kwenye simu yake mumewe akiwaita wanaume wenzie majina tata, dear, darling, sweetheart, honey etc.
Je hii imekaeje wadau? Je mdada afanyeje?
 
Naona harufu ya Sodoma na Gomola hapo,tumezoea kusikia tu kwa wanawake wakiitana majina hayo na wanawake wenzao lakini si kuandika majina kwenye simu zao,hapo kuna namna
 
hongera mwaya, tusipohangaikia watoto tutafanya nini humu duniani? Ungeniona mimi recently kwenye bodaboda kama km 80 kwenda kutafuta mazao usingeamini. It feels good kutafuta kwa ajili ya watoto, a sense of resiponsibility hiyo ambao hawajazaa sio rahisi kuilewa.

that shows a sense of responsibility.
 
Au Honeython???????

mbona honeython ni jina la kiume?? nimesoma nae chuo tena alikuwa BCOM na alikuwaga wziri wa fedha wa DARUSO.
sion shida kwenye majina kama haya.

lakin CL hvi mbona wababa huwaia watoto wao wa kiume na kike darling, hny hasa wakati wanapotaka kuwabembeleza?? je tuseme wanakosea?? ama tuseme wanawarudi watoto wao.??
cc Asprin Dark City
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom