Ufanano kati ya S. Jecha na J. Mtatiro

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Habari wanajamvi?
Kama kichwa cha nyuzi kinavyojieleza hapo,
Hawa watu wawili yaani S.Jecha na J.Mtatiro Licha ya utofauti wa kibiolojia ya Ubinadamu wao na kazi zao wanazozifanya, Hawa wawili wana ufanano unaokaribiana sana
Ndio kusema kihurka, hawa watu wawili unaweza sema ni watoto wa baba na mama mmoja.
Zifuatazo ni baadhi tu ya sifa zinazoweza kukufanya ushindwe kuwatofautisha
1.wote wananyota ya punda,
Huishi kwa kutumwa, na kuramba viatu vya mwenye punda,
2.Hawaoni aibu kupindisha ukweli,furaha yao ni pale yule anayewatumia anapofurahi.
3.hawajui nini wanachokitaka kwenye maisha yao
 
Usipotoshe umma, tena ccm ndiyo ilikuwa mbaya zaidi maana waliweka mgombea mmoja, Jecha alipora ushindi wa wazanzibari wote bila kujali una chama au hauna
 
Mtatiro hawana tofauti na Jecha.Mtatiro ni jambazi wa demokasia, sikutegemea mtu ambaye amepinga kura ya wazi kwenye bunge la katiba leo aje kusimamia maamuzi kwa kuwalazimisha wajumbe kupiga kula ya wazi ile ile aliyoikataa kwenye bunge la katiba
 
Habari wanajamvi?
Kama kichwa cha nyuzi kinavyojieleza hapo,
Hawa watu wawili yaani S.Jecha na J.Mtatiro Licha ya utofauti wa kibiolojia ya Ubinadamu wao na kazi zao wanazozifanya, Hawa wawili wana ufanano unaokaribiana sana
Ndio kusema kihurka, hawa watu wawili unaweza sema ni watoto wa baba na mama mmoja.
Zifuatazo ni baadhi tu ya sifa zinazoweza kukufanya ushindwe kuwatofautisha
1.wote wananyota ya punda,
Huishi kwa kutumwa, na kuramba viatu vya mwenye punda,
2.Hawaoni aibu kupindisha ukweli,furaha yao ni pale yule anayewatumia anapofurahi.
3.hawajui nini wanachokitaka kwenye maisha yao
Lipumba si professior kabisaa atafute vingine vya kufanya asing'ang'anie madaraka kama Hana kazi nyingine ya kufanya ,ahamie hata ACT wazalendo
 
Back
Top Bottom