Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Umekurupuka sana pengine hujui kusoma au ndio wale wale tu.Kama umesoma uzi wote humu ndani kumetajwa ushia na usuni ndio maana nilikomenti hivyo narudia tena usiwe mvivu wa kusomaSasa uislamu unatoka wapi hapo? watu wanaongelea Saudia wewe unarukia uislamu. kwa taarifa yako Indonesia ndio taifa lenye waislamu wengi duniani. jadili Saudia sio dini maana hata mimi muislamu lakini siwapendi wa Saudia kama nchi.