Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,620
- 16,365
😂 😂 😂 😂
Huwa anawapa sana tabu mods ku edit nyuzi zake.
😂 😂 😂 😂
Tena afadhali ya video directors, music producers ndio hawana span kubwa kwenye kazi zao.
Na kibaya zaidi wasanii hasa wakubwa hawawalipi inavyotakiwa.
Daaah acha tu mwanangu ni hatari, nipo tu mwanangu natembelea rinfi sasa iviWapi shedy clever?