Ufahamu ugonjwa wa Monkey pox

Nchi Nzima

New Member
May 12, 2022
4
6
HISTORIA: CHIMBUKO LA MONKEY POX - SEHEMU YA KWANZA
Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa monkey pox kwa mara ya kwanza viligundulika mnamo mwaka 1958 katika jiji la Copenhagen nchini Denmark baada kutokea mlipuko ujulikanao kitaalam kama "versicular disease" baina ya ngedele waliokuwa wakifugwa katika maabara za majaribio ya kisayansi.

Jambo la kushangaza zaidi ni kuwa baadhi ya nyani waliokuwa wakifanyiwa majaribio katika jitihada za kutafuta chanjo ya Surua ( small pox) ndio walibainika kuanza kuugua ugonjwa wa "ajabu" ambao baadae ulikuja kugundulika kuwa ni monkey pox. Ugonjwa huo ulithibitiwa na hakuna maambukizi yaliyotokea kwa binadamu.

Kwa mujibu wa jarida la Scientific American, mnamo mwaka 1997 nchini DRC kulitokea mlipuko wa monkey pox ambapo katika repoti ya shirika la afya duniani (WHO) ilisema virusi vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox vimebadilika (vime- mutate ) namna vinavyoambukiza na kuweza kuambukiza kwa haraka tofauti na ilivyokuwa awali.

ITAENDELEA ...........

WhatsApp Image 2022-05-21 at 5.11.42 PM.jpeg


WhatsApp Image 2022-05-21 at 5.01.06 PM.jpeg


WhatsApp Image 2022-05-21 at 4.47.23 PM.jpeg


WhatsApp Image 2022-05-21 at 4.47.24 PM.jpeg
 
Billgate kwenye interview yake ya mwisho alisema hivi “we will have to prepare for the next one. that will get attention this time ” so tujipange sawa sawa hawa matajiri wakubwa ndo chanzo.
 
Back
Top Bottom