Ufahamu uchawi wa Sigil

shukrani sana kwa taalifa sasa huyo mtu alie tengenezwa ni uyo alie kufa au wanatumia kaburi kutengenezea wtu wengine bila ya kuhusika kwa marehemu
Marehemu hana chake tena hapo.. Huo mziki ulimkusudia mtu mwingine kabisa..hapo palitumika tu kama kiwanja cha kutekeleza watakayo
 
Jamaa walinifungia nyota, mali, heshima, elimu, ndoa, n.k. Lakini Mungu si athumani elimu niliipata ingawa kwa taabu sana mfano kila ilipokaribia fina examination lazima nikalazwe sometimes kufanyiwa upasuaji hii ilijitokeza kuanzia O' level, A' level na chuo kikuu ni kuumwa hadi kazini hadi sasa hadi dunia imekuwa chungu. cjui ni lini haya yata kwisha

kaka kwema?
unaendeleaje jamaa?
mimi pia ni mhanga.
 
giphy.gif
 
Ndio maana sikutaka kabisa kuingia kwenye utengenezaji wake...hata hii law of attraction ni mule mule
ASA kama hukutaka kuelewa zaid ujue bado haujautendea haki ubongo wako kaka ,,vyote vilivyopo duniani ni zao letu sisi wenyewe so hakuna mipaka ya kufikiri ,,wengi wameleta makubwa kwenye dunia kwa kutoka nje ya box
 
OK sawa nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom