Ufahamu na upeo wa baadhi ya wabunge na viongozi Chadema na ubabaishaji wa kisiasa

Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.

Ritz kama Mnyika anadandia hoja na ana mazadhara kwenu kwanini mnataka kumdhuru?wangapi wa CCM ambao wameshajipima kwa michango,hoja na utekelezaji wa ahadi zao?Ritz kengeza kwa mzaramo kwa ****** mapenzi ya mungu eh!
 
This is too low Ritz siyo lazima upost unaunganisha maneno(u think u write)unaweza changia .....Wote uliowataja wanawawasha kweli kweli na wamedhiirisha udhaifu wenu na hilo alina ubishi hoja zao zimekuwa mwiba kwa magamba na serikali yake.
Huo Upeo wa Wabunge zaidi 150 wa CCM unatusaidia nini zaidi ya kuongoza kwa kumwaga udenda na kushabikia ujinga kwa kura za ndiyo mjengoni?.....Endeleni kujipakaza pilipili mwilini.

Sio kila shida zako ni CCM, shida zenu zingine ni matokeo ya yale mliyoyatengeneza kwa mikono yenu wenyewe.
 
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.

Lini unafturisha?
 
Sio kila shida zako ni CCM, shida zenu zingine ni matokeo ya yale mliyoyatengeneza kwa mikono yenu wenyewe.

Ni Kweli kabisa coz hata unyonyaji unaoendelea Tanesco ni matokeo ya kazi za dingi kipindi kile akiwa waziri leo ndiyo inatutafuna kuanzia kwenye mitambo,mafuta ghafi mpaka nguzo?Na ufahamu wa wabunge wa Cdm umeweza kufichua yote hayo mliyoyatengeneza kwa mikono yenu wenye
 
Serius huyu mleta mada Anaijua TZ na matatizo ye2 yaliyoletwa na mafisadi wake. waambie walete zile pesa walizoficha Uswiss tununue pembejeo na kutuliza mgomo wa Walimu ambao wana shida nyingi. Au ndo payroll ya hazina inamfanya hivi
 
Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.

I can agree on Lema and Msigwa, NOT Mnyika, for the record...apart from bringing to light that Prezooo ni 'dhaifu' ameleta hoja binafsi makini na ametetea kwa umakini na kuchangia kwa mapana issue nyingi na zenye kugusa jamii
 
Ritz kama Mnyika anadandia hoja na ana mazadhara kwenu kwanini mnataka kumdhuru?wangapi wa CCM ambao wameshajipima kwa michango,hoja na utekelezaji wa ahadi zao?Ritz kengeza kwa mzaramo kwa ****** mapenzi ya mungu eh!

Nani anataka kumdhuru Mnyika? Chadema bana...Kamati Kuu ya Chadema ndio wametengeneza wameitisha kikao kikawaita waandishi wa habari na kutoa taarifa kikidai kuwindwa na Usalama wa Taifa hayo ndio yalikuwa maazimio ya kikao, mbaya zaidi wanadai wana ushahidi lakini hawatautoa polisi na wala hawataki kuhojiwa polisi, haingii akilini, unatishiwa maisha yako, halafu una ushahidi kisha hutaki kutoa ushirikiano kwa polisi na kusisitiza utaupeleka mahakamani, mahakamani itakwenda kwa mashataka yapi?
 
Wembe ni ule ule.useme hiki useme lile Tulisha anza safari ya kutoka Misri ni lazima kufika nchi ya ahadi hata muweweseke vipi tunasongesha tuu.2015 Hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo acheni kuogopa vivuli vyenu
 
Tundu Lissu naye ni kituko cha aina yake kama unafuatilia vikao vya bunge, kila anaposimama kuchangia kutokana na na kujiaminisha kuwa anajua kila kitu mara nyingi amekuwa akijikuta akiwa kichekesho, mbunge huyu ana hulka ile ile kama Mnyika, ambao wakisimama bungeni hudhania wanachosema au kuchangia ni kipya na wa6 kujiona visima vya mawazo mapya, ndio maana haishangazi kupewa taarifa na wenzao na wengine kuomba mwongozo spika.

Ritz hoja hazipigwi rungu zinajibiwa....Lissu paamoja hayo unayoyasema michango yake mujarabu inatambulika hata kama wewe utaki nani asiyejua mchango wake kwenye muswada Katiba mpya.......kuna maswali ambayo lissu amewauliza serikali mpaka leo yanawatoa jasho mnapepesa macho tu....vipi kuhusu wabunge wakuteuliwa ambao ni MaRc/MaDc?
 
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.

Mkuu Umechanganyikiwa??

Vumilia tu unyolewe acha kutokwa na mapovu utashusha heshima yako bure!!
:baby:
 
Nani anataka kumdhuru Mnyika? Chadema bana...Kamati Kuu ya Chadema ndio wametengeneza wameitisha kikao kikawaita waandishi wa habari na kutoa taarifa kikidai kuwindwa na Usalama wa Taifa hayo ndio yalikuwa maazimio ya kikao, mbaya zaidi wanadai wana ushahidi lakini hawatautoa polisi na wala hawataki kuhojiwa polisi, haingii akilini, unatishiwa maisha yako, halafu una ushahidi kisha hutaki kutoa ushirikiano kwa polisi na kusisitiza utaupeleka mahakamani, mahakamani itakwenda kwa mashataka yapi?
anaitwa Rama.kama unafikiri kuwa Mnyika upeo na ufahamu wake ni hafifu kwanini unapoteza muda wako kumjadili?
 
Una kauli yoyote ya uongo unaosemwa na msanii Kikwete ili kuwakingia kifua mafisadi wenzie? au unayaona ya CHADEMA tu ya DHAIFU huyaoni!?

“Kama Uingereza waliochunguza kashfa hiyo wamefika mahala wanasema kulikuwa na makosa ya uchapaji tu, mtu wenu mnamfikisha mahakamani kwa ushahidi upi?” alihoji Rais Kikwete wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari hivi karibuni.
 
Huo ni upande mmoja mbona hujasema na upande mwingine kwa kuwalinganisha na watu kama Mwigulu Nchemba, Livingstone Lusindea(Kibajaji), William Lukuvi, George Simbachawene na wengine
 
Wanabodi.

Baadhi ya wabunge wa Chadema pamoja na viongozi wao wameonyesha ubabaishaji mkubwa kwenye maswala ya siasa.

John Myinka, aachane na siasa za vijiweni na zile za kwenye mitandao ya kijamii zinazomtukuza na kumuona shujaa akavimba kichwa, nchi yetu ina watu wenye upeo mkubwa wa maswala mbalimbali na kukaa kwao kimya anaporopoka, ni kwamba wanampuuza Mnyika amekuwa mtu wa kuropoka tu.

Tundu Lissu, huyu mwanasheria aliingia katika siasa akitokea kwenye NGO moja wa Wanasheria wa Mazingira, Lissu alidai ana mkanda wa video ambao unaonyesha wachimbaji wadogo wakifukiwa huko Bulyankulu alidandia hoja ya Augustine Lyatonga Mrema, kufanya mropanganda hiyo ambayo aliamini kuitumia kujipatia umaarufu kisiasa zaidi kuliko fani yake, leo hii ukumuuliza vipi ule mkanda video hana tena na ameishasahau.

Godbless Lema, sihitaji kuyasema sana kuyasema mambo yake nadhani wote mnafahamu na siasa zake za kusukumwa na jazba, jana nimebahatika kumuona kwenye Star Tv katika kuchangia Chadema, kauli ya Lema anayashambulia makampuni ya simu ambayo ni wawekezaji, Lema kwa akili yake anadhani hizo kamapuni ni wapinzani wa Chadema, Lema anaongea kwa jazba bila ushahidi wala ufahamu wa maswala ya mawasiliano, Lema anatoa amri mbele ya TV nyie makampani ya simu tafadhali nawaamuru wachieni line watu wachangie la sivyo kesho asubuhi nitaamuru wananchi wote watupe line zenu chooni, sababu Chadema ni chama cha wananchi.

Kama ulimuangalia vzr lema machoni alikuwa amelewa chakari mchana kutwa alikuwa baa akilewa ni kawaida ya wabunge wa CDM kutoa kauli zao wakisukumwa na ulevi zaidi wa bangi mihadarati na pombe zote
 
Ritz chadema wanakunyima usingizi sana....pole sana, can see una kihoro na kisebusebu....! Nikuambie tiba?
 
Hii ndio hatari ya kujiingiza katika siasa bila kujua unachokitaka kukifanya ndio kunakosababisha udandiaji wa hoja, uzushi, madai yasiyo mashiko, Mnyika amekuwa mbunge wa mwogozo spika hivi kweli Mnyika anajua upungufu wake umelifikisha wapi Jimbo la Ubungo? Ni vyema Mnyika kabla ya kuwahukumu wenzake kwa kutoa kauli za kitoto angejipima kwanza je, amelifikisha wapi Jimbo lake.

jitahidi angalau siku moja utoe hoja ya maana, utaendelea kuponda upinzani huku ukishabikia magamba na heshima yako itaendelea kushuka, pole sana, siwezi kuamini kama una mtindio wa ubongo , hayo unayoyafanya ni makusudi
 
Back
Top Bottom