Ufahamu na mashaka juu ya kusafiri kwenye muda yaani Time Travelling

Travis Walker

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
323
332
Katika mada inayonivutia sana ni hili jambo la kusafiri kwenye muda lakini pia ni jambo ambalo nahisi lina utata au lisilowezekana kabisa.

Wanasema muda ni kama snapshot ambazo zimeanza kujipiga tokea ulimwengu umeanza mpaka utakapomaliza halafu zika rewind mwanzo kabisa ndipo wakati ukaanza kuhesabu hizo snapshot. Kwa dhana hii ina maana matokeo yote yaliyokushapita, yaliopo, na yanayokuja siku za usoni yamehifadhiwa katika muda hapo awali. Na hapa ndipo wanaposema, kusafiri mbeleni kwenye muda yaani katika future au kurudi nyuma ya muda yaani past inawezekana.

Basi hapa huwa inanishawishi sana niamini suala hili, lakini wanaposema muda unaenda na matokeo hapo ndipo ninapohisi haiwezekani, yaani eti wewe kama utafanikiwa kurudi nyuma ya muda utayakuta maisha ya bibi yako alipokuwa hai, na siyo hivyo tu, bali unaweza hata kuongea nae na hata kuumua pia ikibidi inawezekana.

TIME TRAVELLING
Mada ya time travelling imeanza kuzuka mara baada ya Albert Einstein alipogundua Theory of relativity . Nadharia hii inazungumzia uhusiano wa fizikia na mvuto katika muda. Yaani muda huathiriwa na fizikia pamoja na mvuto (Gravitiy). Athari hutokea wakati kasi ya fiziki na mvuto inapozidi ama kupungua. Ili kuelewa vizuri, naomba nikupe mfano huu. Anatembea kwa miguu masafa ya kilo mita 10 pengine huchukua lisaa limoja lakini anaetembea kwa gari atachukua dakika 10, na yule anaesafiri kwa kutumia ndege pengine atachukua 1 au sekunde chache. Hicho albert kwa ufupi alichokigudua.

WARM HOLE THEORY
1594563559612.png

Lakini pia, wormhole tehory ikaja kuunga mkono juu ya uwezekano wa ishu ya Time-travelling. Hii ni theory inaoelezea katika duni kuna wormhole ambazo ni kama shortcut za kutokezea upande mwengine wa ulimwengu au katika future ya muda kwa muda mchache zaidi. Hapa ndipo wanasayansi wakapata nguvu na kusema time-travelling inawezekana kama kutatengezwa kitu kinachoitwa Time Machine. Ili hiyo time machine ifanye kazi lazima watu wagundue wapi inapatikana wormhole na pia mashine hiyo iwe na uwezo kusafiri kwa speed ya mwanga yaani kasi zaidi kulikoni unavyowasha tochi na kufika kwenye ukuta. Basi yakiwezekana hayo watu wataweza kurudi nyuma ya muda kuona maisha ya zamani lakini pia wanaweza kwenda mbele yaani kunako kesho kama unavyokwenda kariakoo na kurudi nyumbani.

WATU WANAODAI WALISAFIRI KATIKA MUDA
Kuna hadithi zinazosimulia eti kuna watu waliyowahi kusafiri kwenye muda. Kama ni hivyo basi kuna watu wanazo hiyo time machine au itakuwa wamesafiri kwa miujiza.

UFAHAMU WANGU JUU YA HILI.
Pengine ni kweli inawezekana kusafiri kwenye muda na kuweza kuona matokeo yote lakini katika mfumo wa uono yaani vision. Kwasababu huwezi kusema eti umedondosha glass halafu ikavunjika baadae useme utasafiri kurudi nyuma katika muda na kuikuta glass hiyo bado ni mzima na kuweza kuitumia. Hapa ndipo ninapohisi utata kuamini kama nadharia hii inawezekana.

Kwangu hapa nimefika mwisho. Na nasubiria uelewa wako juu ya hili .
Thanks
 
Time travelling?

Kuna kitu kinaitwa 'paradox'. Hiki kitu kinaleta mkanganyiko na kinaweza kuwa sababu kubwa ya 'kutokuwepo' kwa time travelling.

Mfano;
Mtu yeyote kwa kushindwa kwake maisha aweze kurejea miaka 50 ama 60 nyuma kabla hajazaliwa kisha awauwe wazazi wake ili wasije kumzaa. Then, anawezaje kwenda kuwaua wazazi wake in the first place kama hakuzaliwa na wazazi hao hao?

Isitoshe, kama akifanikiwa kurudi katika miaka hiyo na kuwaua wazazi wake, ni nani atakayekuwa amewaua wazazi hao kama aliyewaua hakuzaliwa kutokana na wazazi wake kuuawa?

Contradiction!

Ili kuwe na uwezekano wa kuwepo kwa time travelling, kunahitajika kutowezekana kwa matukio kama hayo yatakayoleta mkanganyiko kati ya kile kilichotokea zamani (past) na kitakachotokea baada ya hapo.

Kubadilishwa kwa tukio moja lililotokea zamani kunaweza kusababisha chain of events zitakazoubadili wakati kwa kiasi kikubwa sana na hapo ndipo contraditions zinapotokea.
 
sio kinaitwa paradox kinaitwa grandfather paradox

pia tuna butterfly effect
 
Nashukuru lakini ninachozungumzia ni 'paradox' kwa ujumla wake katika nadharia nzima ya time travel.

Grandfather paradox ni moja tu ya paradoxes zinazoihusu time travelling. Pia kuna paradox kama vile causal loops na zingine kama vile Fermi paradox pia Newcomb's paradox, na kadhalika.

Zote hizo zinaeleza masuala kadha wa kadha yenye utata yaliyopo na yanayoambatana na idea ya time travel.
 
Nilikua naisema hiyo paradox ya mtu kwenda kuua wazazi wake inaitwa grandmother paradox
 
Wormhole theory ambayo huwa ngumu kidogo kwangu kuielewa, as long as physics sio maisha yangu kwa sasa no sweat.... Nimekuwa mtazamaji wa series za The flash, naona wamejaribu kuiigiza hizo theorem into prractise, but first iliwezekana pale tu alipopatikana flash anaeweza kukimbia zaidi ya speed of light
 
Time travelling?

Kuna kitu kinaitwa 'paradox'. Hiki kitu kinaleta mkanganyiko na kinaweza kuwa sababu kubwa ya 'kutokuwepo' kwa time travelling.

Mfano;
Mtu yeyote kwa kushindwa kwake maisha aweze kurejea miaka 50 ama 60 nyuma kabla hajazaliwa kisha awauwe wazazi wake ili wasije kumzaa. Then, anawezaje kwenda kuwaua wazazi wake in the first place kama hakuzaliwa na wazazi hao hao?

Isitoshe, kama akifanikiwa kurudi katika miaka hiyo na kuwaua wazazi wake, ni nani atakayekuwa amewaua wazazi hao kama aliyewaua hakuzaliwa kutokana na wazazi wake kuuawa?

Contradiction!

Ili kuwe na uwezekano wa kuwepo kwa time travelling, kunahitajika kutowezekana kwa matukio kama hayo yatakayoleta mkanganyiko kati ya kile kilichotokea zamani (past) na kitakachotokea baada ya hapo.

Kubadilishwa kwa tukio moja lililotokea zamani kunaweza kusababisha chain of events zitakazoubadili wakati kwa kiasi kikubwa sana na hapo ndipo contraditions zinapotokea.
Duh umewaza mbali sana.
 
nyingine hii hapa....kama ukirudi past ile past ndo inakuwa present...na ile former present ndo inakuwa past. past ambayo haiwezi kubadilishwa na hiyo present yako mpya ambayo ni past....
 
Tazama uzi -- tundiko hili.

Kusafari kiwakati ni jambo linalowezekana.

Unachofikiri kuhusu 'maada', 'unafasishi', 'wakati' na 'nishati' huenda ni 'ndicho sicho'.

Ulimwengu hauna 'wakati' mmoja--na nyakati zote si nyakati hasa ila 'SASA'.

Fikiri kana hivi kila nukta ifanyayo 'tukio' ni kama wakati mmoja, kana mkondo, watoka mbele kurudi nyuma vivyo hivyo mwingine kutoka nyuma kwenda mbele.

Mifanyiko yote ni mchanganyiko wa 'kweli' na 'si kweli'--ulimwengu wote ni mchanganyiko wa 'habari' na 'kionekacho kana kitu ama dutu'; japo ni si kitu kwa hali nyingine.

Unaweza kuona basi, kilicho hapa, kilicho hapa lakini kisicho hapa hasa, vile vile kilicho kule mbele ya wakati kadri vile kilicho unakoweza kudai ni nyuma ya wakati.

Vitu vipo katika namna ya 'ulimwengu mmoja' na hali hapo hapo ni 'alimwengu sambasamba nyingi' isivyo idadi. Wewew kama kitu hai, upo katika ulimwengu huu kwa wakati huu, lakini wewe pia upo katika alimwengu nyingi sambamba ambamo wewe waweza kuwa hivi ama vile isiwe sawa sawa na hapa ulipo sasa. Je. ni wapi wewe wawa ni 'Moja'?

Vitu vyote vilivyohai na visivyo hai -- kadri ya vina vya tafsiri vyetu, vyatungika kwa namna ya mtungiko wa habari... Ukitambua siri na fumbo za habari, basi wewe waweza kutenda ama kufanya hata yale ambayo katika hali ya kawaida vina vya upeo, maarifa na tafsiri ya mtu vingalikusema ni 'miujiza' ama 'kisichowezekana'.

Kwanza nikupe ufafanuzi wa nishati kwa namna inayoweza kubeba haya yote,

"Nishati ni uweza na uhali kuweza kupangilia msimamo kutokea mvurugiko kipunde"...

Kwa kusema hivyo, ina maana tunachokijua leo na kukitaja kama 'kazi' kinaweza kutendeka bila 'nguvu'... Yaani kama 'kazi' ni zao la 'kani' na umbali; pia kazi inaweza kufanyika pasipo 'kani' lakini kudhahirika kupitia 'uhali'. Kadiri hii ni uweza ulio katika 'habari'...

Nitakupa picha ya zoezi la kutanua uwezo wa kumaizi hili... Fikiria kana tunaishi katika ulimwengu 'unaowaka' na 'kuzima' kwa kasi ya ajabu mno kuweza kukadirika... Kila unapowaka ni kadri ya mpangilio--unapozima ni kadiri ya mvurugiko; kichosaidia vitu kufutika na kutukia vile vile kutokea kadri ya tukio la kadiri moja hadi ingine ni 'habari' ama 'neno'... Basi jaribu dhanio kama unaweza kuiandika habari kuwa tofauti basi unaweza kuathiri uthibitiko wa uendelevu wa dhahiri kuto hata landana na 'unafasishi'...

Hili lina kuletea picha ipi? Katika Jaribio la kudhanika Uadilifu; Ukiwa na meza yenye pembe nne, tuziite pembe A, B, C na D; halafu kwenye pembe moja ukaweka kapira 'O' kadogo--kenye uso mwororo sana--juu ya uso mwororo sana wa meza; basi kama meza hiyo tena yenye uso bapa sana ikiwa na kipira kwenye tuseme ncha A halafu tukawa na namna ya kifaa chenye kuweza kusoma na kuhifadhi habari za mitetemo ya hali ya juu sana kukadirisha 'kipira O' katika ncha A basi ikiwa tutasogeza kipira O kiende kukaa katika ncha C, pembe mtazamano na A -- na huko nako kifaa hicho hicho kikasoma na kuhifadhi mitetemo ya hali ya juu ya hicho katika nafasi husika -- basi hili linawezekana; kama chombo hicho hicho kwa kadri ya kuweza kusoma lakini pia kinaweza 'kutekenya', kwa namna ya utetemeazi, kikitetemeazisha kipira O kilichopo katika ncha C kwa kadri ya mitetemo ya hicho kilipokuwa ncha A--nini kitatokea? Ikiwa chombo hicho kina ubora na ufanisi wa hali ya juu ya kusoma na kutetemeazisha basi kipira O kitaitika kwa jambo ambalo katika upeo na uzoefu wetu wa kawaida hatujawahi kudhani inawezekana--kipira O kitapotea ncha C na kutokea ncha A... Ina maana hakitasafiri toka ncha C kwenda A kwa tunavyoweza kudhania, kukatikizia katika unafasishi wa dhahiri juu ya meza...

Unaweza kusafiri kutoka nukta A kwenda B bila 'kusafiri'... Tuite 'telepotia'. Je, 'wakati' umwekwenda wapi katika hili?

Hili ni moja, kati ya mengine mengi yanayoweza kutaka usahau unachofikrir unajua kuhusu maada, unafasishi, wakati na nishati.

Rejea

A. R Bordon, D.H Hasler, J. A. Sanchez, F. M Maye, R. B. Soligen (2009). BIOGEOSYSTEMICS--The Sonobioelectronic and Sonobioelectrogravitic Nature of Life on Earth and Why Pilot-Wave Subquantum Mechanics and Information Is not Enough, Life Physics Group - California, Adobe Acrobat

Emerging Technology, ArXiv (2016). Physicists Create World’s First Time Crystal
Physicists Create World’s First Time Crystal

Richard Lighthouse, (2020). The Blinking Universe, Lulu

Lacerta Files (2000). The Lacerta Files
Question/Answer 4:

"Yes. In order to explain that, one has to acknowledge the physical reality of the sphere of influence {Feldraum}. I’ll try to do it…wait just a second…you are going to have to separate yourself mentally from the illusion that that which you see is the true nature of the universe. It is, at best, the surface of a side. Imagine for yourself that all the matter here —you, this table, this pencil, this technical device, this paper— does not really exist, but that it is rather only the result of a field oscillation and a concentration of energy. All matter that you see, every creature, every planet and star in this universe, has an “information-energy equivalent” in the sphere of influence which is located on a main field —the general level {of things}. Now, there is not only one level, but several. Last time, I had mentioned that highly-developed species which is capable of changing levels (which is something completely different from the simple bubble changing, for bubbles are a part of each and every level). Do you understand? Dimensions, as you call them, are a part of a solitary bubble, bubbles or universal foam are a part of a level, and levels are layers in the sphere of influence, while the sphere of influence, acting in the capacity of single physical size, is essentially unending; it is composed of innumerable information-energy layers and general levels. There are in the sphere of influence no null-levels; all are the same, but they are separated by means of their energy conditions. I notice that I am confusing you now. I think I ought to stop with this explanation."
 
Jamaa Yale maelezo ya mwanzo ungeyaweka kwenye lugha ya kingereza ungesaidia Sana kueleweka.

Yaani kwa hiko kiswahili nimejitahidi kuelewa ila mwishowe nimeishia kuona maluweluwe

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Je, hapa utaelewa sana?

From other Group Conversation:

Since the talk implicates 'vibration', 'holograms', 'Sphere(circle)', 'Cube(square)'; √2 and 'p-orbital' thing are featured to/thus denote the perennial struggle to couple physical observation with quantitative determinism ie mathematical computation--this nonetheless is the limited intellectual enterprise. For those two, if qualified in more open mind -- creative mind, could be serving the purpose of illustrating the elusive 'infinite' dynamism of 'transient reality' which could be complemented by symbolic and geometrical to elucidate the 'matter perspectives'... The saga and metaphor of 'squaring the circle' -- Breath of Life and Formation of all and everything.

√2 figuratively represents the 'squarely' dynamism such as 'gravity' flow or electromagnetic propagation -- remember the gravitational constants and the inverse square law? What can facilitate the reciprocity of time, distance and 'space'?

'p- orbital' thing figuratively represents the 'spatial distribution' of 'unity densities'--basically this extrapolates to supposedly 'geometrical configurations' -- remember the 's,p,d and f' orbitals from elemental chemistry and its supposedly 'bonding propensities'? What makes 'spheres' significant to order and forms?

In the other thread(Following ****'s comment), some materials have been presented to expand knowledge base and understanding to both, numbers and geometric implications--towards new physics (Blaze Labs, alternative ideas to universal observation)... Also, external links that provide detailed knowledge on how we as human being 'process' information and build 'basal knowledge' ; and that, how 'sacred circuits' , in our human civilization, can usher in new and potential ways to 'intuit', 'comprehend' and 'grasp' ideas and 'forms' from the deepest recess of our being and so elevate our consciousness.

Now, I as a man is curious about number 432--the magic squares and the 'infinity symbol'. Numbers have affinity to 'spatial propensities' and within certain auspicious sequencing they can outpicture 'cumulus of templaic information' behind 'order' of forms. There are two symbols from 'sacred circuits'--'connect' and 'transform' that I explore to bring to me a sound knowledge of how 'holograms' meet 'vibration' to reinforce forms and dynamics. If you look carefully, you will find there is hidden 'tetrahedron' in sacred circuit symbol 'connect' and again their is hidden 'cube' in sacred circuit symbol 'Transform'.

The work of Marko Rodin, which is the rock solid of my future scholarly work on Social and Economic Order -- towards the golden future, supplies us wealth of keys to 'spatial planning, organization and management' of system elements of life that can draw 'reflective guiding light' of the whole to ensure organic growth, balance, rhythm and fractal reverberations in sync with the breaths of life -- in the cause for 'abundance'--the christine terminology for 'wealthy'.

Marko Rodin's work features 'doubling' and 'tripicity' behind forms and organisation from basic units of systematic sequential progression of numbers. Thats doubling 'earthly' sequencing of 1,2,4,8,7 and sublime 3,6 and 9. Now this can lead us to the outplay of an 'infinity symbol' and the perennial Equilateral Triangle of 'Power'. Are you familiar with the Marko Rodin's Torus and enneagram? Check it out.... When you have all four basic arithmetic operations--divide, plus, multiply and minus within ma certain systematic numeral operations, you will realize a torus of numbers and archetypal 'event horizon'.

Now how does is the infinity symbol emerge from Manya J Long and co-relate with sacred circuit symbology and so AR Bordon's 'working model'?

Sacred Circuits symbology is the language of the infinities, forms and dynamism. The Premise of Manya J Long's 'Psyche as Interaction Electromagnetic Properties of Conscious Energy' relies upon Seth's wisdom on Psyche as well as Zodiacal Signs as articulated in the first chapter of that work.

Now, Zodiac Science features 4 and 3 into 12 in a very vivid archetypal fashion/order of perennial operation. The 12 signs are divided into four (4) sectors thus featuring the orthogonal relationship between the dimensions of 'power' and 'necessity'. These sectors represent the Air, Water, Fire and Earth. Each of the four represent three(3) Zodiac Signs. How does the 'cycle of life' progress? Well, Each progression of zodiac sign involve the change of polarity from being 'extrovert' into 'introvert' then 'extrovert' -- on and on ad infinity... As the result, their is always six(6) masculine signs and six(6) feminine signs; beginning with Aries. The 'Moon Cycle' always influence two(2) signs of zodiac; thus if 'Pisces' tend to be 'emotional' so it follows with 'Aries' being temperamental. Then 'Taurus' and 'Gemini' can be 'cool'--going on and on...

If you represent the above relationship--temperamental sign at right and cool sign in the right; extrovert (masculine sign) at the top and feminine signs at the bottom, your will have top-left sector representing the 'Air' Signs ( Gemini, Libra and Aquarius); top-right representing the 'Fire' Signs (Aries, Leo and Sagittarius); bottom right representing the 'water' Signs(Cancer, Scorpio and Pisces); then the remain sector has 'Earth' Signs (Taurus, Virgo and Capricorn). Now you have integrated the 'SUN' and 'MOON' aspects of Zodiac into four quadrants of 'Invigoration of Life'. This also has direct relationship to Soul and Psyche integration in real life.

You can trace the path of Zodiac Signs across the Year --in that four quadrants representation--- and it will reveal the 'infinity Sign'. Thus Aries (Extrovert, Heaven, Temperamental), Taurus (Introvert, Landish, Cool), Gemini (Extrovert, Heaven, Cool), Cancer(Introvert, Land-ish, Emotional), Leo(Extrovert, Heaven, Temperament), Virgo (introvert, Land-ish, Cool). Now if you divide the domain of each Zodiac signs into thirds you will be able to ascertain the propensity for being 'thinking/perceptive' or 'thinking/Judging' in personality scales of Mayers&Briggs scales beside 'introvert/intuitive, extrovert intuitive' counterparts. This implies there are rhythms to our 'zodiac signs disposition' that trace origins to our cycles of life ie place, moment of birth...

Will continue with the relating symbology--vibration II Holograms...
trinity.jpg
scalar.jpg
seasons ying yang.jpg
time cone.jpg

Nadharia tu hizi

Wewe ni mwepesi...kujifupishia mashauri -- Je, ni kutokana na uvivu, ughairishaji ama?

Kwa sababu unaweza hata kuuliza kama kuna mifano ya watu 'kusafiri kiwakati'; na basi hao kutupatia mirejesho kwa hata mambo tuliyodhani historia iko sahihi na daima huwa tunakuta vitu si lazima kuwa kana kulingana na rekodi zilizopo....

Ukitaka ushahidi, wewe omba kwa adabu na unyenyekevu...
 
Back
Top Bottom