Jibu swali nililo kuuliza.Tazama, akili yako 'inatengeneza tafsiri'...
Lakini, hakuna shida.
Bado hauna 'mazoezi' ya kutosha kufuatilia mashauri ya nje ya mazoea yako ya kawaida.
Ikiwa kwa mfano, kwako inatosha kutazama 'usiku' na 'mchana' ukasema basi 'ndiyo kuna wakati' bado hauna msingi kung'amua kiini cha muwezesho wa 'Kusafiri kiwakati' ni nini hasa... Na halafu, hauwezi kunielewa kabisa Je, mimi kama mtu napambanua mambo gani(?). Kwa akili na upeo wako utaliniona miye ni mtu nisiye kaakaa sawa kimantiki...
Halafu, wewe unataka nini -- ubishi labda? Unataka kuchungua mambo kweli ama kuhukumu?
Ni vema utambue usiharakishe kuhukumu jambo usilolijua vema, maana unaweza kuwa unajihukumu wewe mwenyewe...
Hmmm